Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 61,023
- 36,865
Nimeshangazwa kama sio kusikitishwa na andiko la Naibu Waziri
Kilocho nishangaza Naibu Waziri anashangaa na maamuzi ya mwamuzi , lakini katika Ligi yake ya ndani maamuzi kama hayo yamekuwa yakifanyika na Simba amekuwa amekuwa kimyaaaaa
, Mechi ya mashujaa inatosha kabisa kuonesha kuwa huyu Mwana FA hajui alisemalo
Anashindwa kukemea TFF na Bodi ya Ligi anaenda ana waambia CAF eti wateue Bingwa
Haya tuje kwenye Fact
Mechi 2, dakika 180 Simba amepiga shots on Target 1 pekee , Kosa ni la Caf ?
Alitaka refa achukue mpira atenge penati kama zile penati na Kefa Kayombo ?
Walifikiri na huku CAF kuna mambo ya mchongo mchongo kama kwenye bodi ya Ligi ?
Naibu waziri anapaswa kuomba radhi na atuombe radhi wapenzi na mshabiki wa mpira Tanzania kwa sababu hata kwenye Ligi ya nchi yake mamlaka za mpira hazitendi haki , anapaswa kusimamia Haki kwanza kwenyw Ligi yake kabla hajawalaumu Caf
Haya kosa la refa ni lipi ? Kutokutoa penati ? Maana hata on target hawajapiga