CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
Habhari zenyu binafsi....
Kila kona nikipita nakutana na wanaume wanatafuna kipande cha muhogo hasa kikiwa kibichi.....
Wanawake wa siku hizi wala hawana haraka ya kutupitishia mihogo majumbani ili tupate vitafunwa bali huenda zao katikati ya mji na kuwauzia wanaume kijipande kidogo. Hana haraka ya kuuza muhogo mzima bali kajipande kadogo kadogo kwa bei mbaya....
Wanaumeee eeeh, hivi ni nini siri ya hiki kipande cha muhogo???