CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
- Thread starter
- #21
hahahaaa short and clear LOLZ
Sijaona cha ajabu hapo, ndo maana nimemjibu hivo!! Hebu kuja pande za Prime Minister tulonge kwanza!!!!!!!!
hahahaaa short and clear LOLZ
Mkuu Judgement kuna siku nilikatiza mitaa ya Liberty nkakuona na wewe unatafuta muhogo... Hebu nambie kuna siri gani katika muhogo????
Ni kweli uliniotea! Btw kwa haraka yako nisikuone hukuntazama vizuri , sikua peke yangu on that day, tulikuwepo Mamber kibao wa Jf , mfano tulikua na mgeni toka chuga Erickb52 , pia Pedeshzee Chimbuvu alikuwepo .
Na wote tulikua twatafuna .
Bila kumung'unya Muhogo , Karanga mbichi , Nazi mbichi hutuongezea ule uji mnaouliliaga nyie wadada kwa hisia kali na si vinginevyo.
Mkuu kwani we hutumiagi???
Muhogo wa Jang'ombe?
Hapana mkuu... Ni muhogo wa kawaida kabisa!!
Usinikumbushe JudgementNi kweli uliniotea! Btw kwa haraka yako nisikuone hukuntazama vizuri , sikua peke yangu on that day, tulikuwepo Mamber kibao wa Jf , mfano tulikua na mgeni toka chuga Erickb52 , pia Pedeshzee Chimbuvu alikuwepo .
Na wote tulikua twatafuna .
Bila kumung'unya Muhogo , Karanga mbichi , Nazi mbichi hutuongezea ule uji mnaouliliaga nyie wadada kwa hisia kali na si vinginevyo.
Usinikumbushe Judgement
Yan nishaanza kupamiss Mwanza
Arushaone nilikuona pale Meru posta kwa juu ukitafuna muhogo nini faida yake?
Kaizer yalikuwa ni mapumziko tu ya mwisho wa mwaka.....Dogo ulienda kufanya nini huko kwa mfano?
halafu charminglady huu uzi wako huu sijauelewa nifafanulie PM tafazali sana
Kaizer yalikuwa ni mapumziko tu ya mwisho wa mwaka.....
Nilifundishwa na charminglady kuwa mihogo ina manufaa kwangu kwa ajili ya yale mambo yetu yaleee!!
Dogo ulienda kufanya nini huko kwa mfano?
halafu charminglady huu uzi wako huu sijauelewa nifafanulie PM tafazali sana
Kwani ucle uko Mwanza tayari au kulw kati?ankoo nnanza kupata wasiwasi, umekuja bila kunitaaifu mwenyeji wako... khaaa?
Hahahaaaanahisi mapokezi yalikuwa mazuri sana....mi nataka niende mapumziko ya mwanzo wa mwaka haya mafuriko yakitulia
CC charminglady