Muhimu: tiGO yafanikisha tena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muhimu: tiGO yafanikisha tena

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mkimbizi, Sep 6, 2008.

 1. Mkimbizi

  Mkimbizi JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2008
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sasa ukiwa na mtandao wa TIGO unaweza kutuma message kwa sh 500 tu kwa siku. HII NI EXTREME SMS.

  Tuma neno xtreme sms kwa namba 15509 na uweze kufaidika na huduma hii.

  KUMBUKA NI KUTUMA MESSAGE KWA MITANDAO YOTE NCHINI.

  TIGO, EXPRESS YOUR SEEEEELF!!!!
   
 2. kaygeezo

  kaygeezo Senior Member

  #2
  Sep 6, 2008
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukitoka tiGo karibu tena Voda
   
 3. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2008
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Voda hakuna kitu zaidi ya kuvuna maana hakuna mtandao ghali kama voda hapa tanzania au pengine kwasababu ni mtandao wa kifisadi si Rostam share holder?
   
 4. Mkimbizi

  Mkimbizi JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2008
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndio zake kusifia vodacom. Labda atuambie huo uwezo wa kuweka voucher kwenye mtandao ghali kaupata wapi.
   
 5. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #5
  Sep 6, 2008
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145

  Tarrif
  Je kujiunga kwa tigo sms extreme ni kiasi gani kitakatwa kwenye account aa ni sh 500 kwa siku na itaanza saa ngapi na kuisha saa ngapi? Au isiwe ndio prepaid in prepaid which is a multiplication of sales wakati huduma ni ile ile. Ni wizi wa kisayansi. They must create means to as well enable Tanzanians to develop and not to make them stagnant as kila mwekezaji anabuni means za kuibia WaTz. Mfano wanatuma message "Recharge your account with min 2000 TAS halafu wata-double balance" but ukifanya hivyo unakula upepo. Its ridiculous. Ni ufisadi pia huu. Mbona TTCL hawafanyi huu ushenzi ni kwa sababu they know what beatiful Tanzanians want! Heko TTCL
   
 6. Kamende

  Kamende JF-Expert Member

  #6
  Sep 9, 2008
  Joined: Mar 1, 2008
  Messages: 415
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  NInachojua mimi ni kuwa TTCL walicheleweshwa sana kuanza biashara ya simu za mkononi na internet kwa manufaa ya mafisadi wachache.

  Huu ni uozo ambao viongozi wetu wamekuwa wakiifanyia nchi yetu. Leo hata TTCL kwa bidii zake bado wanafanyiwa uhuni mwingi sana. Kama hujui tafuta rafiki mwema pale atakuambia yote.
   
 7. C

  Chuma JF-Expert Member

  #7
  Sep 10, 2008
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Maneno mazito mkuu...Yanahitaji wajuazi wa mambo namna yanavyoendeshwa Bongo...TTCL kwa infrastructure walizonazo, wakiamua wafanye hasa Business, basi makampuni ya simu itabidi yakimbie...lkn ndio hivyo linakufa kiaina ili makampuni mengine yaingizwe!!!
   
Loading...