Muhimu hii!! Tafadhali soma!!

....Najaribu kukumbuka mara ya kwanza nilipoisoma hii ndani ya JF ilikuwa lini vile? Two or Three years back?????:confused2:
Every day thing are coming and going!!yawezekana was same story different people!
 
Good update news ila mi najiuliza doctor kasema alivuta sumu inakuwaje aivute dereve peke yake wakati wapo wote humo ndani ya gari na huyo jamaa?? Pia jamaa alianza kusikia kizunguzungu from jangwani then akapaki magomeni ina maana hiyo sumu ilikuwa jamaa yeye asiivute pia maana wote walikuwa wavuta na kutoa pumzi ya humo humo ndani ya gari #KakaKiiza
 
Thnx Kamanda umenipatahadhari kubwa thus why naipenda JF wapo watu kwaajili ya watu. Be Blessed
 
Back
Top Bottom