Muhimbili: No Comments

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
306681_10151063016359743_1581996414_n.jpg
 
Oya mko serious au? Hii ni kabla au baada ya Uhuru, as in hiyo picha ni Tanzania?
 
Du alafu hawa wote lazima wawe na kila mtu na gloves zake,wembe,pamba kama una unazaa sakafuni tena mwenyewe. Inasikitisha sana ee Mungu tuokoe toka katika utumwa huu,kama ulivyowaokoa wana wako toka kwa Farao
 
Hawa wote wana waume zao, au waliozaa nao.
Wengine washazalia hapa mara kadhaa.
 
mkuu hii picha ni hospital ya temeke wodi ya wakina mama wajawazito ya zamani, kwa sasa inakarabatiwa na wakina mama wamehamishiwa kwenye jengo jipya kule chini kama unaeleka mochwali.
 
mkuu hii picha ni hospital ya temeke wodi ya wakina mama wajawazito ya zamani, kwa sasa inakarabatiwa na wakina mama wamehamishiwa kwenye jengo jipya kule chini kama unaeleka mochwali.
Haijalishi ni ya muhimbili, Temeke wala Singida.
Ni Tanzania bado.
kuwa temeke hakujahalalisha huduma ya aina hii.
 
Hii situation ya hospitali zote nchini.
Sasa hapa ni majengo,
Wamejaa, hakuna madokta,
hakuna madawa
hakuna vipimo,
hakuna vitanda
hakuna neti,
Nadhani pia Hawana Rais
 
ukipitia mahospitalini ukazunguka nchi hii kisha ukatembelea JF ukakutana na habari za akina shimbo na trilion 3 akiwa amehifadhi south Afrika, huku kila kukicha mali asili zetu kila kukicha zina safirishwa kinyemela huku vigogo wa serikali ya ccm wakijilimbikizia zaidi ya trilion 16 uswiss na kwingineko wakati watanzania wanajifungulia chini, hawana maji ya kumywa..ukiambiwa andamana hata mida hii utakuwa tayari kama mimi..
 
Rais Kikwete siku hizi anakagua uchimbaji madini Uingereza
 
Back
Top Bottom