Muhimbili: No Comments

487816_414797218562850_911756076_n.jpg
 
siwaonei huruma hata kidogo hawa..maana walichangia sana kumuweka huyu mtu pale magogoni..kwa hiyo watulie hivo hivo....sina shaka mama gaude wangu wa moyo atajifungulia Aga Khan Hospital...sio kwenye mlundikano huu...wanalipwa kwa makosa yao
 

kwa mazingira kama haya unategemea hata ukilipwa milioni 100, utaweza kufanya kazi zaidi ya kuteseka tuuuuu!!!!!tusijidanganye, hata sisi tulikuwa hukohuko na kilichotutoa ni mazingira mabovu ya kufanyia kazi kwa kile hasa tulichosomea.....tusome theory, tufanye kazi ki-theory!!!!
Karibuni japan muone jinsi madaktari wanavyofanya kazi!!!
 
Yaani mtu hauendi Hospitali kupona ila kubeba gonjwa jingine..dah! Inasikitisha sana.
 
Back
Top Bottom