Oya mko serious au? Hii ni kabla au baada ya Uhuru, as in hiyo picha ni Tanzania?
ukipitia mahospitalini ukazunguka nchi hii kisha ukatembelea JF ukakutana na habari za akina shimbo na trilion 3 akiwa amehifadhi south Afrika, huku kila kukicha mali asili zetu kila kukicha zina safirishwa kinyemela huku vigogo wa serikali ya ccm wakijilimbikizia zaidi ya trilion 16 uswiss na kwingineko wakati watanzania wanajifungulia chini, hawana maji ya kumywa..ukiambiwa andamana hata mida hii utakuwa tayari kama mimi..
Hiki ndio Kiti Cha Wagonjwa. Hii ni Hospitali Kuu Bagamoyo