Muhimbili (MOI): Sakata la Upasuaji Kichwa na Mguu.

Limeisha kama masakata mengine yanavyoisha. Kwa maneno mengine ni kwamba wengi wetu tumeshasahau, vyombo vya habari navyo vimeshasahau au kwa makusudi au kwa sababu wanazojua wenyewe, navyo vimeacha ufuatiliaji. Kwani sakata la Nimrod Mkono limeishia wapi? Mahalu je?

La Mahalu halijaisha..kesi inaendelea mahakamani
 
Back
Top Bottom