Ni kweli, ingekuwa mwenzangu na mie HARUFU na huu ukata walahi ningeshatangulia mbele yake.Huu ugonjwa kuishi nao ni shida, pesa ya jamaa ilikuwa ndefu na ndiyo pia imemsaidia kuvuta miaka mingi.
Ni kweli.ngumi zimempunguzia maisha
Nakubali KiongoziBoxing imepoteza mvuto kabisa, zaidi pale Tyson alipostaafu.
Ni kweli, ingekuwa mwenzangu na mie HARUFU na huu ukata walahi ningeshatangulia mbele yake.
Hata hivyo amekufa bado bwana mdogo miaka 74.
Mimi nilijua Muhammad Ali anakimbiza kwenye miaka 90 au tisini na kitu.
Nimeona kwenye habari walivyokuwa wanazungumzia Historia yake kwa ufupi, kumbe alikataa kupigana Vita vya Vietnam na walimsweka Lupango.
Huo ugonjwa, ni mtihani.
Wakionesha picha zake za mwendo hivi ameshakuwa mtu mzima, mkono wake wa kulia unatetemeka.
Na hata akijaribu kurusha konde anashindwa huku mkono wake ukiendelea kutetemeka.
Kweli sisi Binaadam hamna kitu.
Muhammad Ali na nguvu zake zote zile, uwezo wake, wepesi wake, lakini anashindwa kabisa kurusha konde
Ndicho hichoWalimfunga jela kwa kosa la kukataa kwenda vitani, na ndipo alipojitambua kuwa mzungu sio mtu, na alibadili dini. Kitendo cha kubadili dini kiliwaumiza sana wazungu.
Ni kweli, ingekuwa mwenzangu na mie HARUFU na huu ukata walahi ningeshatangulia mbele yake.
Hata hivyo amekufa bado bwana mdogo miaka 74.
Mimi nilijua Muhammad Ali anakimbiza kwenye miaka 90 au tisini na kitu.
Nimeona kwenye habari walivyokuwa wanazungumzia Historia yake kwa ufupi, kumbe alikataa kupigana Vita vya Vietnam na walimsweka Lupango.
Huo ugonjwa, ni mtihani.
Wakionesha picha zake za mwendo hivi ameshakuwa mtu mzima, mkono wake wa kulia unatetemeka.
Na hata akijaribu kurusha konde anashindwa huku mkono wake ukiendelea kutetemeka.
Kweli sisi Binaadam hamna kitu.
Muhammad Ali na nguvu zake zote zile, uwezo wake, wepesi wake, lakini anashindwa kabisa kurusha konde
Ahsante Mkuu, kwa muda wako na kunijuza mawili matatu.Mkuu kwa miaka aliyoishi akiwa mgonjwa jamaa amevuta, pia mke wake alikuwa na mapenzi ya dhati. Pamoja na ugonjwa wake walilea watoto yatima wengi. Nilimuona kwa macho mwaka 2006 alikwenda London, jumuia ya waislamu wa Brixton walimualika katika ufunguzi wa jengo lao, the guy was handsome.
Mkuu kwa miaka aliyoishi akiwa mgonjwa jamaa amevuta, pia mke wake alikuwa na mapenzi ya dhati. Pamoja na ugonjwa wake walilea watoto yatima wengi. Nilimuona kwa macho mwaka 2006 alikwenda London, jumuia ya waislamu wa Brixton walimualika katika ufunguzi wa jengo lao, the guy was handsome.
Hizo links ntaangalia nkitulia.
Hizo links ntaangalia nkitulia.
In sha Allah[emoji120]