NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,286
- 24,003
Muhamasishaji ni tofauti na hafisa habari wa timu naona kuna Nyani wanachanganya mambo.
Muhamasishaji anaweza kua mtu yoyote yule.
Muhamasishaji anaweza kua mtu yoyote yule.
Hivi monalisa ni msemaji wa Simba queens au mhamasishaji tu?Muhamasishaji ni tofauti na hafisa habari wa timu naona kuna Nyani wanachanganya mambo.
Muhamasishaji anaweza kua mtu yoyote yule.
Chelsea = Simba ???Nitajie muhamasishaji wa Chelsea.
Kuwapa tu watu hela za bure.
Huwezi kumjaji mtu KWA hisia zako.Simba nao wapumbavu, haiwezekani kilaza kama huyu akawa mhamasishaji wa chama kubwa..
Anamaaniaha Ni ziada tu na kutia hamasa lkn mwisho wa siku wachezaji ndivyo wenye matokeo.Basi wasingemuajiri muhamasishaji kama ni hivyo
Kwani mwijaku ana tatizo Gani? Maana kama elimu anazo degree mbili,kama kuongea anajua,pia anajua kuandika na kuzungumza lugha mbili kwa ufasaha kiingereza na kiswahili,anajua lugha za kuamasisha sasa sijui tatizo lake liko wapi?!Tizama huyu nae, unaongea kama una upungufu wa kende..
Sasa huyo mpuuzi ana uhuni gani kwenye soka,we wahuni wa mpira unawajua, soka la bongo haliwezi kuendelea kwa kuendekeza upuuzi kama huu.
Km Kuna mtu hawataki wahamasishaji wetu na akufe tu hamna namna.
Sisi ni mashabiki wa Simba siyo mtu. Yeyote atakaeletwa tutamsapoti. Kwamba Simba yote na bodi ya wakurugenzi hawana akili. Ni ujinga.
Sisi tunataka burudani na matokeo mazuri uwanjani.
Husda na wivu mkuu. Huwezi kujua mtanzania anataka nini.Kwani mwijaku ana tatizo Gani? Maana kama elimu anazo degree mbili,kama kuongea anajua,pia anajua kuandika na kuzungumza lugha mbili kwa ufasaha kiingereza na kiswahili,anajua lugha za kuamasisha sasa sijui tatizo lake liko wapi?!
Maana naona amemzidi hata yule aliekuepo kwa kigezo cha elimu,maana aliekuepo ukiondoa maneno mengi matusi,na kejeli, elimu yake ni kidato cha pili na elimu ya madrasa tu,Mwijaku anafaa kama wamempatia nafasi sio mbaya,usiweke roho mbaya hadi kwenye riziki,maana mgawaji ni Mungu.
Watanzania ngozi nyeusi ni changamoto sana,roho mbaya,fitna,uchawi Mungu atusaidieHusda na wivu mkuu. Huwezi kujua mtanzania anataka nini.
KAma haji aliweza atashindwa huyu woote ni sawa tu tumpe mudaSimba nao wapumbavu, haiwezekani kilaza kama huyu akawa mhamasishaji wa chama kubwa..
SishangaiWee dada unawashwa wapi ukunwe?
Kwani kuna Professional ya uhamasishaji ??????? Au kuna chuo cha kusomea uhamasishaji????Simba nao wapumbavu, haiwezekani kilaza kama huyu akawa mhamasishaji wa chama kubwa..
Kiboko ya haji alikuwa jerry murro sasa kaletewa zaidi ya jerry murro,mo aliona hawezi kujibizana na kima kama haji akaona amletee wa kufanana naeKwani mwijaku ana tatizo Gani? Maana kama elimu anazo degree mbili,kama kuongea anajua,pia anajua kuandika na kuzungumza lugha mbili kwa ufasaha kiingereza na kiswahili,anajua lugha za kuamasisha sasa sijui tatizo lake liko wapi?!
Maana naona amemzidi hata yule aliekuepo kwa kigezo cha elimu,maana aliekuepo ukiondoa maneno mengi matusi,na kejeli, elimu yake ni kidato cha pili na elimu ya madrasa tu,Mwijaku anafaa kama wamempatia nafasi sio mbaya,usiweke roho mbaya hadi kwenye riziki,maana mgawaji ni Mungu.