Muhamasishaji wa Simba Mwijaku

NAWATAFUNA

JF-Expert Member
Nov 14, 2019
11,363
2,000
Muhamasishaji ni tofauti na hafisa habari wa timu naona kuna Nyani wanachanganya mambo.
Muhamasishaji anaweza kua mtu yoyote yule.
 
Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
32,069
2,000

Simba Nguvu Moja

One Dream
One TeamTanzania , Macho Yapo Simba Tu Ambayo Inafanya Vema
Ndani Ya Nchi Na Nje. Wale Wahuni Wanateseka Tu Sasa
 
ngajapo

JF-Expert Member
Jun 3, 2012
847
1,000
mwache nae ni wakati wake wa kukomba mashabiki kwenye Instagram.. mungu akifungua njia ya mafanikio ya mtu hakuna wa kuzuia.
 
This is...

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
2,853
2,000
Simba nao wapumbavu, haiwezekani kilaza kama huyu akawa mhamasishaji wa chama kubwa..
Huwezi kumjaji mtu KWA hisia zako.
Mjaji KWA performance ya kazi yake. Kuna unaodhani hawawezi lkn wakipewa nafasi wanaonyesha uwezo na ambao unadhani wanaweza lkn hawawezi.

Tuwaunge mkono watafanya kazi yao.

Tatizo mlishazoea kelele.
Tatizo huwezi kujua Mbongo anataka nini. Ni vigeugeu, wafitini, wachawi nk.

Wengi mnaongea humu si kwasababu Mwijaku na Mziwanda hawana uwezo bali HUSDA NA WIVU vimewajaa vifuani.
 
This is...

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
2,853
2,000
Km Kuna mtu hawataki wahamasishaji wetu na akufe tu hamna namna.

Sisi ni mashabiki wa Simba siyo mtu. Yeyote atakaeletwa tutamsapoti. Kwamba Simba yote na bodi ya wakurugenzi hawana akili. Ni ujinga.

Sisi tunataka burudani uwa na matokeo mazurinjani
 
This is...

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
2,853
2,000
Basi wasingemuajiri muhamasishaji kama ni hivyo
Anamaaniaha Ni ziada tu na kutia hamasa lkn mwisho wa siku wachezaji ndivyo wenye matokeo.

Hebu sajili magarasa na benchi la ufundi la hovyo halafu utegemee kuwa wahamasishaji wataleta matokeo mazuri.

Watu wakienda uwanjani wachezaji wanapata hamasa na timu inapata mapato pia lkn siyo lazima kwamba mhamasishaji ndiyo chachu ya ushindi
 
change formula

JF-Expert Member
Sep 8, 2020
352
1,000
Tizama huyu nae, unaongea kama una upungufu wa kende..

Sasa huyo mpuuzi ana uhuni gani kwenye soka,we wahuni wa mpira unawajua, soka la bongo haliwezi kuendelea kwa kuendekeza upuuzi kama huu.
Kwani mwijaku ana tatizo Gani? Maana kama elimu anazo degree mbili,kama kuongea anajua,pia anajua kuandika na kuzungumza lugha mbili kwa ufasaha kiingereza na kiswahili,anajua lugha za kuamasisha sasa sijui tatizo lake liko wapi?!
Maana naona amemzidi hata yule aliekuepo kwa kigezo cha elimu,maana aliekuepo ukiondoa maneno mengi matusi,na kejeli, elimu yake ni kidato cha pili na elimu ya madrasa tu,Mwijaku anafaa kama wamempatia nafasi sio mbaya,usiweke roho mbaya hadi kwenye riziki,maana mgawaji ni Mungu.
 
This is...

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
2,853
2,000
Km Kuna mtu hawataki wahamasishaji wetu na akufe tu hamna namna.

Sisi ni mashabiki wa Simba siyo mtu. Yeyote atakaeletwa tutamsapoti. Kwamba Simba yote na bodi ya wakurugenzi hawana akili. Ni ujinga.

Sisi tunataka burudani na matokeo mazuri uwanjani.
 
This is...

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
2,853
2,000
Kwani mwijaku ana tatizo Gani? Maana kama elimu anazo degree mbili,kama kuongea anajua,pia anajua kuandika na kuzungumza lugha mbili kwa ufasaha kiingereza na kiswahili,anajua lugha za kuamasisha sasa sijui tatizo lake liko wapi?!
Maana naona amemzidi hata yule aliekuepo kwa kigezo cha elimu,maana aliekuepo ukiondoa maneno mengi matusi,na kejeli, elimu yake ni kidato cha pili na elimu ya madrasa tu,Mwijaku anafaa kama wamempatia nafasi sio mbaya,usiweke roho mbaya hadi kwenye riziki,maana mgawaji ni Mungu.
Husda na wivu mkuu. Huwezi kujua mtanzania anataka nini.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom