Muhamasishaji wa Simba Mwijaku

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
9,326
2,000
Kwani mwijaku ana tatizo Gani? Maana kama elimu anazo degree mbili,kama kuongea anajua,pia anajua kuandika na kuzungumza lugha mbili kwa ufasaha kiingereza na kiswahili,anajua lugha za kuamasisha sasa sijui tatizo lake liko wapi?!
Maana naona amemzidi hata yule aliekuepo kwa kigezo cha elimu,maana aliekuepo ukiondoa maneno mengi matusi,na kejeli, elimu yake ni kidato cha pili na elimu ya madrasa tu,Mwijaku anafaa kama wamempatia nafasi sio mbaya,usiweke roho mbaya hadi kwenye riziki,maana mgawaji ni Mungu.
Kiboko ya haji alikuwa jerry murro sasa kaletewa zaidi ya jerry murro,mo aliona hawezi kujibizana na kima kama haji akaona amletee wa kufanana nae
 

rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
10,606
2,000
Mohamed mswahili Simba inatakiwa iende kwenye level za klabu kubwa afrika, Kama Simba unataka watu wamahasike wanatakiwa wafanye vizuri uwanjani hao kina mwijaku ni watu wa kutafuta kick hawana tofauti na Manara
 

changaule

JF-Expert Member
Jan 10, 2020
1,468
2,000
Matangazo ya mechi ya Jumapili kule Azam TV yalipooza sana.

Angalau leo Mwijaku amekuja na 'It is Not Over' Kazi iendelee pale tulipoishia.
Huyu jamaa anaongeaga pumba. Kwenye kuhamasisha kuelekea Simba day alitoa boko, namnukuu
"Tunakwenda kuwaonesha kuww wao wanawapeleka uwanjani ila sisi tumeleta wakongo ili wafanye featuring na whozu, hii ndio tofauti kati ya wao na sisi. Na pale tunaenda kuwaonesha ni jinsi wakongo wanajua kukata viuno lakini sio wakongo kucheza mpira.

Mwisho wa kunukuu
 

This is...

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
2,853
2,000
Sishangai

Maana ndio takataka simba ilizokaribisha karibu

Simba should be bigger than lile topolo linaloitwa mwijaku
Duuh, una wivu wa like haswaa, kisa jamaa kapata dili mjini.

Km hukubali wanachofanya wengine hata mwenyewe hutajikubali na wengine hawakukubali. Two way traffic!
 

This is...

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
2,853
2,000
Mohamed mswahili Simba inatakiwa iende kwenye level za klabu kubwa afrika, Kama Simba unataka watu wamahasike wanatakiwa wafanye vizuri uwanjani hao kina mwijaku ni watu wa kutafuta kick hawana tofauti na Manara
Ni kukopu TU na mazingira wakati mwingine. Klabu kubwa msemaji ni meneja wa timu yaani kocha.
 

Janjaweed

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
12,137
2,000
Duuh, una wivu wa like haswaa, kisa jamaa kapata dili mjini.

Km hukubali wanachofanya wengine hata mwenyewe hutajikubali na wengine hawakukubali. Two way traffic!
The guys is just rubbish

Simba Kwa miezi hii michache bila manara tumekua na image ya heshima, utulivu na ustaarabu

Sasa tovovo limeingia kitu cha kwanza kuanza kumshambulia msukule

That is not right
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom