Mugomo wanukia UDSM

Ndokeji

JF-Expert Member
Jun 9, 2011
698
475
Kutokana na wale wanafunzi 48 waliofukuzwa chuo . bunge la serikari ya wanafunzi limekaa na Kupitisha maamuzi ya kushinikiza management ya chuo wawarudishe chuo wanafunzi wote 51. kuanzia jumatatu mwanafunzi yoyote wa Udsm haruhusiwi kuingia Darasani ni bonge la mgomo mpaka kieleweka
 
Sidhani ka utafanikiwa,udsm ya leo co ile ya akina mtatiro,hakuna solidarity kabisa,kila mtu anajiangalia kimpango wake.binafc j3 nina test na lazima niifanye.over
 
Mbona hatuna taarifa mkuu manake mi nipo hall 5 hapa, watu kimya 2najiandaa na UE tu.
Afu kwa hali hii ppl waoga ka panya, manake toka MAJEMBE/VICHWA/WATETEA HAKI ZA NCHII HII/WALIOTHAMINI WAO WAONDOKE WENGINE WAPATE MIKOPO/WATANZANIA HALISI/WAZALENDO.
Cjaiona m2 akíita hata REVOLUTION SQUARE.
Wote 2liobaki ni mfano wa panya, hatuelewi,tunaogopa hata kusema nani akamfunge paka kengere.
SIJUI LABDA LABDA...

Wapi majembe yangu, mliokubali kuondoka kwa ajili ya wengine
EMEKA' Pamoja kaka toka mby-mi wa mbyday ( tunaitana Pastor) pamoja sana.
Kibona bariki, rasi na wengine wote wapigania haki.HAMTATOKA KWENYE MEMORY YANGU.
 
Sidhani ka utafanikiwa,udsm ya leo co ile ya akina mtatiro,hakuna solidarity kabisa,kila mtu anajiangalia kimpango wake.binafc j3 nina test na lazima niifanye.over

Watu wengine mnashangaza, ati unalaumu kwamba siku hizi hakuna solidarity na wakati huohuo unataka ukafanye test siku ya mgomo. Bora ungekaa kimya tu!!!
 
Watu wengine mnashangaza, ati unalaumu kwamba siku hizi hakuna solidarity na wakati huohuo unataka ukafanye test siku ya mgomo. Bora ungekaa kimya tu!!!

mkuu,watu tuliisha jitolea sana kuorganise kunji,hadi 2kaitwa na mkandala na kupgwa mkwara wa kufa mtu bt wenzetu nyie hamna ushirikiano kabsa,sa c bora na sie tuendelee na maisha yetu ka kawaida..infact nimebakza semister yangu moja tu,ya nin kuwahangaikia nyie masharobaro na masister duu njaa tena.
 
Wasaliti mwisho wao huwa mbaya kimaisha siyo njema wazee mnatakiwa kuwa kitu kimoja kwenye haki kama wasomi mpo hivyo hii nchi ukombozi haupo hata kidogo kina Sitta waliwahi kufukuzwa chuo na Nyerere waliitwa mpaka Ikulu na bado walipata nafasi nyingine za kusoma hata wakawa watu muhimu nchini msiwe hivyo wazee wenzenu wana haki ya kusoma teteeni warudi mnajisikiaje kuwaona mtaani kwa haki za wote zilizokuwa zinatafutwa.Ok kazi kwenu manaojiita wanaudsm wa kileo but zile zama zetu huu upuuzi haukuwepo hata kidogo.Hata mmoja alikuwa bidhaa adimu leo 51 mpo tu manakcremisha madesa.Napata wasiwasi hata elimu muipatayo hapo maana less reasoning na wasomi tunaitaji wa kureason.Leo ukienda library pale campus unawakuta wanafunzi asilimia kubwa wamekomalia past papers wanaklemisha mpaka majibu yaliyo kwenye past paper.Huo ni uvivu wa kufikiri yaaani ule wa kusoma vitabu na kureason kwishey ndiyo maana hata haya ya usaliti yanatokea maana mtu kukiwa na mgomo yale aliyoclemisha yote yanayeyuka hivyo anaanza afresh.Ok kazi kwenu
 
Du mbona sijasikia kitu,mimi nipo hapa hall 2 hapa chini napiga story wala hakuna kinachoendelea
 
Sidhani ka utafanikiwa,udsm ya leo co ile ya akina mtatiro,hakuna solidarity kabisa,kila mtu anajiangalia kimpango wake.binafc j3 nina test na lazima niifanye.over

kama siku zote ungekuwa na akili kama hzi,wala tusingekuwa against na wewe!!lakini 100 mkubwa,jali kilichokupeleka mkubwa.
Kama chuo kitaendeshwa bili ya sheria na taratibu sasa kwli kutasomeka hapo!!
Mbona wale wanaokuwa sponsored nje ya nchi mbona uwa-hawagomi???kwani hawa uwa-wanapewa boom on time??hacheni ushamba nyie,sasa kama wewe kweli mwana-mapinduzi usifanye hako ka-TEST!!tengeneza course work mkuu!!
 
kama siku zote ungekuwa na akili kama hzi,wala tusingekuwa against na wewe!!lakini 100 mkubwa,jali kilichokupeleka mkubwa.
Kama chuo kitaendeshwa bili ya sheria na taratibu sasa kwli kutasomeka hapo!!
Mbona wale wanaokuwa sponsored nje ya nchi mbona uwa-hawagomi???kwani hawa uwa-wanapewa boom on time??hacheni ushamba nyie,sasa kama wewe kweli mwana-mapinduzi usifanye hako ka-test!!tengeneza course work mkuu!!

bweegee kweli.
 
Wanafunzi wa sasa waoga sana yani me ningekuwa mwanafunzi leo ningelipua makazi ya mkandara hapo,na kuna kipindi ticha flani hapo alikua ananizingua na nilipanga nilipue utawala sema tulienda nae sawa,hawa washenzi dawa yao ni kulipua yani mnashindwa kujioganaiz wanafunzi hata wa5 mkanunua guruneti na kulipua utawala? Kama mbwai mbwai tu hii nchi mbele haitotawalika biliv dat I'm tellin y'all buddiez
 
Back
Top Bottom