Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,639
kufa ni lazima kuishi ni bahati
Mugabe juzijuzi alidai ya kuwa kakishinda kifo kumzidi Mungu wangu Yesu Kristu..........hii ni laana kabisa na ni mbaya sana
Huyu ataponaNa bii Joshua alisema rais mmoja sasa na huyu?
Hiki kibabu kife haraka jamani. he is too old to be of any usefulness for the success of his country, anyway
what a wiseAs wise as Solomon!!
Another western Propaganda!
Maskini Africa hata dikteta Mugabe ni kiongozi mzuri anayefaa kuigwa na viongozi wengine. For what. Kitu kimoja tu tunaweza kumsifia Mughabe kwamba aliipatia nchi yake uhuru. Lakini baada ya hapo ni masikitiko makubwa. Mungi wewe unawaunga mkono CDM kwa msimo wako hapa JF unaonaje tukipata kiongozi kama Mugabe hapa Tz anayewaua wapinzani na raia wasiomuunga mkono. Tatizo Aficans we are confused we dont know who is hero and who is playing hero. Mugabe is playing hero in the eyes of ignorant Africans. Mugabe tajiri aliyejilimbikizia mali za US bilions wakati wananchi wake ni maskini wa kutupwa, anayemuua yeyote anayempinga, anayeshindwa uchaguzi na kung'ang'ani mdarakani kwa kutumia vyombo vya dola, anayetumia turufu ya ardhi kuwaghilibu wananchi wake hata akijua athari yake nchi inafilisika na kununua kiberiti dola milioni moja. Hivi hakuna vitu vingine viongozi wa Africa wanaweza kufanya tukawaona mashujaa ila tu wakiwavimbia wazungu ndio tuwaite mashujaa hata kama kuvimba huko si lolote wala chochote ila tu kucheza na akili zetu kwa kuwa wanajua sisi ni wajinga tuliofundishwa kuwavimbia wazungu ndio ushujaa?Viongozi wote wa Africa wangekuwa na msimamo kama Mugabe tungekuwa mbali kimaendeleo. Bahati mbaya tuna aina ya viongozi wanaoitikia Yes Sir, hakuna anayethubutu kumchallenge mzungu kwa kusema no, with critical reasons! Get well Comrade Mugabe, you are real the Great!
Nitamlilia sana.Kufa ni kawaida ila suala ni je baada ya Ghadafi na Mugabe ni nani anayeweza kuwakemea Mabepari na kuwaambia NO dhidi ya siasa zao za kibabe na kiunyonyaji?