Mugabe mahututi Singapore?

What does it mean by close to death ? Who is far from death then, mind you may die anytime from now and leave Mugabe still leaving !!!

Quite true! Hakuna anayejua saa ya kufa kwake! Mugabe can be close to death or far to it! Likewise wanaosema hizo propaganda
 
Madaktari husema yuko kwenye koma, is it not the same as close to death? What's wrong. Amekata kauli maana yake nini?
 
tatizo ya MUgabe na MUtharika majina yote yamenza na jina la MUngu, inawezekana utabiri utaondoka na rais wa pili afrika
 
Mugabe juzijuzi alidai ya kuwa kakishinda kifo kumzidi Mungu wangu Yesu Kristu..........hii ni laana kabisa na ni mbaya sana
 
Yupo katika koma state nasikia. Labda unabii wa TB Joshua unataka kutimia.
''Nabii'' Joshua alikuwa anamtabiria kifo Mugabe. Na report za hali ya afya ya Mugabe alikuwa anapenyezewa na yule mama makamu wa rais wa Malawi. Hivyo kifo cha rais wa malawi kilitokea kama coincidence tu.
 
Hiki kibabu kife haraka jamani. he is too old to be of any usefulness for the success of his country, anyway
 
What does it mean by close to death ? Who is far from death then, mind you may die anytime from now and leave Mugabe still leaving !!!
Exactly! What is the definition of close to death? The guy will die one day. Its up to him to decide in what fashion he wants to leave his legacy behind.
 
Viongozi wote wa Africa wangekuwa na msimamo kama Mugabe tungekuwa mbali kimaendeleo. Bahati mbaya tuna aina ya viongozi wanaoitikia Yes Sir, hakuna anayethubutu kumchallenge mzungu kwa kusema no, with critical reasons! Get well Comrade Mugabe, you are real the Great!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom