Mugabe mahututi Singapore?

Tungoje mpaka Jumatano. Mugabe anasema atarudi Zimbabwe

Mugabe ‘returns on Wednesday'

09/04/2012 00:00:00 by Staff Reporter
robert_mugabe.jpg

PRESIDENT Robert Mugabe is expected back in Zimbabwe on Wednesday after a week's absence which fuelled fears about his health. Mugabe, 88, left on what was described as a "private visit" to Singapore on March 31.

Aides said Mugabe would use the trip to oversee arrangements for his daughter, Bona, to begin post-graduate study, after she received her accounting degree from a Hong Kong university last year.

Officials in Prime Minister Morgan Tsvangirai's MDC party have publicly suggested Mugabe's absence was paralysing government, with last week's Cabinet meeting cancelled.

On Monday, Misheck Sibanda, the chief secretary to the Cabinet, announced that Tuesday's Cabinet meeting had been moved to Thursday when Mugabe would be back in Harare. And a member of the Zanu PF politburo told New Zimbabwe.com that Mugabe was set to fly into the country sometime on Wednesday.

He denied the President had a health emergency, suggesting instead that the Zanu PF leader was enjoying an Easter break with his family in Asia. He said: "The President is on his Easter holidays, like everyone else.

"He returns to his post this week, at the same time as those who are asking about his whereabouts from their holiday hideouts."

New Zimbabwe
 
Mkuu Kichuguu heshima mbele.

Jambo moja la msingi ni kwamba huyu mzee ana pesa sana na yote ni kodi na biashara ya madini na ndio maana ili kuweza kujilinda na hali yoyote ile ya machafuko ndio wanamuandaa Mnangagwa ambae aliwahi boss wa idara ya usalama nchini humo.

Kama hawaogopi si wangemuachia mama Joyce Mujuru kuwa rais?
 
Hii sifahamu itakuwaje maana wote mama Mujuru na Munangagwa wote wanatoka ZANU PF, sasa katiba ya Zimbabwe sifahamu inasemaje kuhusu hili.

Munangagwa ni waziri wa Ulinzi.

Katiba iko wazi kwamba Rais akisafiri au kuwa Incapacitated then Makamu wa Rais huchukua nafasi. Ila nimeangalia vipengele kama Rais akifa inakuwaje, kwamba je wanaitisha uchaguzi au Makamu wa Rais anapandishwa na kusubiri mpaka uchaguzi mwingine. Sasa sijui walioandika Katiba walijua Jongwe ataishi milele?

Joice Mujuru na Emmerson Mnangagwa kutoka chama kimoja sio tatizo, tatizo ni mfarakano within the party. Yaani ZANU-PF haina tofauti na CCM yetu kuelekea 2015.

Hao wawili wote wana mpango wa kumrithi Mugabe na kati yao wote hakuna ambaye alishapewa nod na Mugabe. Matokeo yake wapo ambao wako nyuma ya Mama Mujuru na wapo wafuasi wa Mnangagwa.

Kifo cha General Solomon Mujuru kimeacha hisia kwamba inawezekana kuna foul play somewhere kwamba Mzee wa watu aliuawa kwanza ndipo wakachoma moto nyumba ili kupoteza ushahidi. Kidole kinaelekea kwa "shushushu" namba moja Bwana Emmerson Mnangagwa kwamba alimmaliza Mujuru ili kuweka mambo sawa maana angekuwa hai, mkewe (Joice Mujuru) angeweza kushinda kirahisi. Halafu inaaminika kwamba Joice Mujuru alikuwa anatumia ujasiri wa mumewe ili kuweka mambo yake sawa, maana Jongwe alikuwa anamuogopa pia.
 
Jamani msimuwahishe Babu wa watu, naona RIP zinamwagika tu. Tusubiri wenye nchi watangaze "rasmi" msiba ndipo RIP ziwe na uhumimu, unaweza kusema RIP Bob na kumbe Jongwe mzima wa Afya, alikuwa Singapore kutafuna vi-dollar vyake.

Nimeangalia vyanzo vyote vya habari nikagundua ni magazeti ya UK na Australia [hawa wote wana ugomvi na Bob] ambayo yame-quote news hizo kutoka kwenye magazeti ya Zimbabwe ambayo ni anti-government.

Kwa hiyo kuna uwezekano mkubwa habari hizi zikawa ni tetesi tu kwa sasa halafu kajamaa kakaja kutokezea siku ya Jumatano kama George Charamba alivyowatangazia mawaziri.

Iwapo hatarudi Jumatano, then watu wanaweza kuanza kujumlisha na kutoa. Dokezo: Alhamis ni siku mbaya kwa marais wa Afrika, hasa walio Kusini mwa Jangwa la Sahara, maana ni TB Joshua's Bad Day!
 
Habari zilizopo ni kwamba raisi wa Zimbabwe ambaye kwa kipindi kirefu ametuhumiwa kuwa na utawala wa kimabavu dhidi ya chama kikuu cha upinzani nchini Zimbabwe yuko mahututi akitibiwa nchini Singapore na inasemekana Makamu wa Raisi tayari anaiandaa Zimbabwe kwa ajili ya msiba mzito. Mugabe anasemekana kwamba ameshamteua mrithi wa kiti chake cha uraisi, Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo, Emersson Mnangagwa. Maoni ya watu wengi nchini Zimbabwe ni kwamba utawala chini ya Mnangagwa huenda ukawa wa kimabavu zaidi ya Mugabe. Mnangagwa alikuwa kiongozi wa mapambano ya msituni dhidi ya Uingereza, na mkuu wa Intelligence baada ya uhuru. Aliongoza kampeni za kikatili dhidi ya Zapu zilizosababisha maelfu ya watu wa kabila moja kubwa nchini Zimbabwe kuuwawa, na pia kampeni nyingi dhidi ya Morgan Tsvangarai na wafuasi wake zimekuwa chini ya Mnangagwa.

Kitendo cha Mugabe kumruka Vice President Joice Mujuru na kumkabidhi uraisi Waziri wa Ulinzi Mnangagwa huenda kikaleta taharuki nchini Zimbabwe. Mujuru ni mke wa aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Zimbabwe ambaye aliuwawa hivi karibuni katika mazingira ya kutatanisha.

Source: Daily Mail, April 10 2012
 
Huyu jamaa ni Kifaru zaidi ya Mugabe .Afadhali aendelee kumdhibiti kibaraka wa wazungu Morgan
 
Mugabe illness reports 'a lot of hogwash'

(AFP) 10 April 2012 110
HARARE — Zimbabwe on Tuesday dismissed reports that President Robert Mugabe was battling for life in a Singapore hospital as "a lot of hogwash", after his absence forced cabinet to postpone this week's meeting.

"It's a lot of hogwash," Information Minister Webster Shamu told AFP. "This is not the first time we have heard these rumours. If anything like that had happened, we would have issued a statement."

He would not disclose the whereabouts of Mugabe, 88, who was reported by state media to have left for Singapore on a private visit more than a week ago to arrange post-graduate studies for his daughter Bona.

Shamu's statement came on the back of a report in the Zimbabwe Mail news website that Mugabe, in power since 1980, was seriously ill and had agreed to hand over power to defence minister Emmerson Mnangagwa.

A government source who spoke on condition of anonymity said Mugabe was well and denied the report.
"He is on a private visit in Singapore," the source said.

"He is not in and was not taken to any hospital. He is well and should be back later today or tomorrow which is why cabinet was pushed to Thursday. The story from the Zimbabwe Mail is a complete fabrication."

Mugabe last seen in public when he handed computers to a government primary school nearly two weeks ago.

But he issued a condolence message following the death of Malawian president Bingu wa Mutharika last week and another one congratulating wa Mutharika's successor Joyce Banda on assuming her new post.

Mugabe's health has been subject of speculation in recent years.
 
Acheni uongo basi ..
Fanyeni research za kutosha kabla hamkuleta habari ..

Mugabe mzima wa afya kabisa ..
Yuko Singapore kwenye vacation na familia
Yake .... taarifa zaidi nenda yahoo news ....

Wamesema kabisa hizi taarifa za Mugabe kuwa hospital SIO za kweli ....

Long Live Mugabe ...
 
Zimbabwe's Mugabe "well, on holiday": officials

Tue Apr 10, 2012 10:38am GMT

HARARE (Reuters) - Zimbabwean officials on Tuesday dismissed reports that President Robert Mugabe was seriously ill in Singapore, saying he was well and on holiday there with his family, and was expected to return home this week.
Two senior officials from Mugabe's ZANU-PF party, who declined to be named, said a website report about the 88-year-old leader battling for his life in a Singapore hospital, which was widely repeated by some international media, was not true.
"The president is well and away on a private holiday to help his daughter prepare for post-graduate studies, but we are expecting him home this week," said one of the officials.
"But some sick and malicious people are spreading false stories about him being seriously ill while others are saying he is dead or dying out there," he added.
The two officials confirmed Mugabe was in Singapore but declined to divulge any further details about his trip.
The speculation about Mugabe's state of health flared after a small online newspaper, The Zimbabwe Mail, reported that Mugabe was "battling for his life" in a Singapore hospital.
A terse government statement saying a weekly cabinet meeting set for Tuesday had been postponed to Thursday also fed the speculation about the president's health.
But one of the officials said Mugabe was expected to chair the rescheduled session on Thursday.
Zimbabwe's capital Harare was quiet on Tuesday, with government offices and businesses re-opening after the Easter Holiday.
Mugabe has ruled Zimbabwe since the southern African state gained independence from Britain in 1980.
Although ZANU-PF officials rally behind Mugabe in public, in private many want him to retire and pass the baton to a younger heir, due to fears his advanced age may cost the party victory in upcoming elections.
This fear within ZANU-PF has intensified since reports, based on a June 2008 U.S. diplomatic cable released by WikiLeaks, that Mugabe is suffering from prostate cancer.
Asked whether the president had also used his 10-day visit to Singapore for a medical check-up, one of the officials said: "We are not going to be engaged over rumours, speculation and wishful thinking."

* This Old Man Will not Go Easly; He's there to ruin Zimbabwe with his Gang of Thugs!! *
 
SIO kweli ..

Mugabe yuko Singapore kwenye vacation na familia yake. ..ni mzima kabisa wa afya ...

Taarifa kama hizi Jaribu kusoma gazeti au website zaidi ya moja ...

Nenda yahoo news, website utaona wanasema hizi story za Mugabe kuumwa SIO za ukwali ..
 
Habari zilizopo ni kwamba raisi wa Zimbabwe ambaye kwa kipindi kirefu ametuhumiwa kuwa na utawala wa kimabavu dhidi ya chama kikuu cha upinzani nchini Zimbabwe yuko mahututi akitibiwa nchini Singapore na inasemekana Makamu wa Raisi tayari anaiandaa Zimbabwe kwa ajili ya msiba mzito. Mugabe anasemekana kwamba ameshamteua mrithi wa kiti chake cha uraisi, Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo, Emersson Mnangagwa. Maoni ya watu wengi nchini Zimbabwe ni kwamba utawala chini ya Mnangagwa huenda ukawa wa kimabavu zaidi ya Mugabe. Mnangagwa alikuwa kiongozi wa mapambano ya msituni dhidi ya Uingereza, na mkuu wa Intelligence baada ya uhuru. Aliongoza kampeni za kikatili dhidi ya Zapu zilizosababisha maelfu ya watu wa kabila moja kubwa nchini Zimbabwe kuuwawa, na pia kampeni nyingi dhidi ya Morgan Tsvangarai na wafuasi wake zimekuwa chini ya Mnangagwa.

Kitendo cha Mugabe kumruka Vice President Joice Mujuru na kumkabidhi uraisi Waziri wa Ulinzi Mnangagwa huenda kikaleta taharuki nchini Zimbabwe. Mujuru ni mke wa aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Zimbabwe ambaye aliuwawa hivi karibuni katika mazingira ya kutatanisha.

Source: Daily Mail, April 10 2012

Makuombea speed recovery comrade Mugabe.

Joyce Mujuru anaweza kuwa easily compromised na vibaraka kama akina Morgan Tsavangirai.Afadhali Afrika iongozwe na watu kama akina Enerson Mnangagwa kuliko kibaraka asiye na aibu Morgan tsavangirai.Huyu ni fedheha ya Afrika
 
Back
Top Bottom