Mugabe mahututi Singapore?

Mugabe mahututi Singapore?

Huyu SI alimdhihaki Yesu kuwa yeye alishakufa na kufufuka mara nyingi tu, nini Yesu mara moja! Google ucheke
 
pona haraka Mugabe ili urudi madarakani maana utaenda kutawala mpaka Peponi...
 
Aiseee kwa kweli am shocked to learn this...wa Malawi hatujamzika bado naye huyu kashaanza kuumwa tena....
 
pona haraka Mugabe ili urudi madarakani maana utaenda kutawala mpaka Peponi...

Uchaguzi ujao nashauri chama chake kimteue tena kugombea urais. Hata kama akigoma wamlazimishe tu agombee. Si anaupenda sana urais huyu, hakuna kuuacha wampe tu hata akiwa bed ridden
 
Nyumbani lini jamani au haya maombi ya kufunga yanayoanza kesho.

Mungu atajibu tu mkuu baada ya kufunga. Ila we sema siku moja kwa Mungu ni sawa na siku elfu. Hapo sasa!
 
huyu mzee ni mbishi kweli sijui kwanini hataki kukabidhi uongozi kwa watu wengine na hili ni tatizo la viongozi wengi wa Africa
 
Naye aachie huo uraisi sasa miaka 88 bado anataka kuongoza au anataka kufia madarakani, akiendelea kubisha watamkanumba.
 
Mwaka 2003 Malaysia ilikubali kumpa hadhi ya ukimbizi wakti wowote yeye Mugabe na familia yake endapo ataamua kumwaga manyanga.

MDC nao walikubaliana na hatua hiyo ambayo inampa unafuu wa kutofunguliwa mashtaka Mugabe endapo angeziuzulu akiwa nchini Zimbabwe.
 
Alisema bado anajiona kama kijana mwenye miaka 18. Mi huwa sielewi kwani ukiachia urais ukapumzika haulii?

Kaka/ dada hakuna Kama Mugabe Africa! Pekee alieweza kupambana na ubeberu(neocolonialism) tumuombee sana afya njema. Na hata akifafa bado atakuwa amekufa kishujaa.
 
Habari nilizozipata punde kuwa Mhe. Mkongwe Rais wa Zimbabwe Kafariki Dunia huko Singapo
 
Habari nilizozipata punde kuwa Mhe. Mkongwe Rais wa Zimbabwe Kafariki Dunia huko Singapo

Oh My God .... RIP .... simba wa yuda

JK atarudi lini au ataunganisha na hii tena ?
 
Tutakuwa tumepoteza mwamba wa Africa. Lakini hakuna atakayeishi milele.Mungu amweke panapomstahili.
 
RIP madikteta wanazidi kupungua dah! nakumbusha tu Lema kesho anaanza kufunga.
 
Back
Top Bottom