ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,017
- 7,220
Sio kweli.
Habari nilizozipata punde kuwa Mhe. Mkongwe Rais wa Zimbabwe Kafariki Dunia huko Singapo
RIP madikteta wanazidi kupungua dah! nakumbusha tu Lema kesho anaanza kufunga.
source pls mbona cnn bbc aljazeera bado hawajasema
Unaogopa eee kila mmoja ataonja mauti hata marais hawana kinga hiyo tuvumilie tu.kumbe fikra zako hazina tofauti na Cecil Rhodes, Botha, Bush, nk, kumbe wewe ni kuwadi wa ubeberu! na inashangaza kuandika fikra zako mgando katika aya mmoja na mpambanaji Lema!
RIP madikteta wanazidi kupungua dah! nakumbusha tu Lema kesho anaanza kufunga.
haya mwaka wa wanawake huuu......kikatiba makamu wa rais wa zimbabwe Joyce Majuru.....mke wa mkuu wa zamani wa majeshi wa zimbambwe.........
Kama banda ..ambaye ni mke wa mwanasheria mkuu wa zamani wa malawi
Nnajaribu kuzungumza na source wangu mmoja wa ambae anaifahamu zahanati maarufu iitwayo Gleneagles.
Ni zahanati ambayo mzee jongwe amekuwa akihudhuria kwa siri mara nyingi kufanyiwa checkup ya ugonjwa wake ambao bado haujathibitishwa.
Zahanati ya Gleneagles pamoja na mambo mengine ipo-specialised na ugonjwa na Saratani na ile process ya kufanyiwa mionzi huwa inafanywa hapo na hao madaktari bingwa wa radiation oncology.
Richard Bana,
Nilipoona hiyo statement bold nikasema sasa tunapata news za uhakika, nikakimbilia haraka haraka kusoma, mpaka mwisho sioni kitu. Sawa Mzee tunasubiri source ya uhakika, japo Jongwe ninavyofahamu security yake huwa ni nzito sana na nikichanganya na hali iliyoko nyumbani, inaweza kuwa ngumu ku-confirm hizi habari kwa kuwa nyumbani hawajakaa mkao wa nani atarithi (risi) kiti cha Jongwe. Halafu ZANU-PF wanajua kwamba wakiingia kwenye uchaguzi bila Jongwe ndo itakuwa imekula kwao, maana watu walikuwa wanachagua jina sio chama na pia watendaji wengine walikuwa wanamuogopa Bob Mugabe na hivyo walikuwa tayari kufanya madudu (kuiba kura au kupiga watu ili Mugabe na chama
chake washinde).