MUGABE: Hatutaachia raslimali kwa wazungu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MUGABE: Hatutaachia raslimali kwa wazungu

Discussion in 'International Forum' started by Mahesabu, Apr 15, 2011.

 1. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2011
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  HARARE, Zimbabwe

  RAIS Robert Mugabe amesema chama chake hakitalegeza msimamo wa kuzikata kampuni zinazomilikiwa na watu wa nje kuachia hisa kubwa kwa wazawa. Akizungumza na wafuasi wake wakati wa mazishi ya ofisa mmoja wa serikali, Mugabe alisema chama cha Zanu PF kitakahikisha kikasimamia na kulinda uchumi wa watu weusi ikiwa ni sehemu ya kupigania mabadiliko. "Kwa hiyo tunasema ni lazima tuchukue nchi yetu, washirika wetu, raia wa nje ambao wanataka kufanya kazi na sisi lazima wakubali kuwa chini. Sisi ni washirika wakubwa na siyo tena wadogo kama ilivyo siku zote," alisisitiza.[​IMG]
  Aliwakaribisha wote wanaotaka kufanya kazi na kuwekeza ndani ya Zimbabwe na kusisitiza kuwa ni lazima wakubali masharti hayo. Alielezea kushangazwa na hatua za nchi za Magharibi ambazo zimekuwa zikiweka vikwazo Zimbabwe bila sababu za msingi. "Vitisho vya vikwazo vimekuwa vikiwaogopesha na kuwatia wasiwasi wawekezaji wa nje, lakini raslimali ya nchi hii kwa kiasi kikubwa lazima zimilikiwe na wazawa," alisisitiza. Alisema serikali yake haiogopi kutangaza mipango yake hadharani na mara zote atakuwa muwazi na mkweli. " Uingereza na Marekani hii ni nchi yetu tuna haki na raslimali na kunazishika wenyewe sasa," alisema. Katika kipindi cha nyuma, Mugabe aliwanyang'anya ardhi wakulima wa kizungu na kugawa ardhi kwa raia weusi wa nchi hiyo hatua ambayo ilisababisha wawekewe vikwazo vya kiuchumi.

  )

  NAMKUBALI MUGABE NA UTETEZI WA RASILIMALI ZA NCHI KUSHIKWA NA KUWAFAIDISHA WAZAWA
   
 2. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #2
  Apr 15, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Na aliwaambia wazi kuwa,nyie wawekezaji mpo hapa ktk nchi yetu na wala sio nchi yenu,mtambue kuwa kabla ya yote mtu wa kwanza kupata nafasi ktk kampuni yako ni lazima awe mzawa wa hapa zimbabwe na ktk maswala ya hisa ni lazima sisi wazimbabwe tuwe na hisa nyingi kuliko Kifaranga chochote kutoka nje ya zimbabwe
  kama hutaki unaweza ondoka na ukatuachia nchi yetu

  Lakini hapa BOPNGO tuna mpa mwekezaji MIAKA 5 eti ya kuangalia kama ataweza pata faida,Then baada ya hiyo miaka ndio aanze kulipa kodi,ikifika miaka 5,jamaa anabadilisha jina na kudai hajapata faida ni aibu kweli

  Angalia BOTSWANA kabla ya kuingia mkataba ni lazima useme utaifanyia nini jamii inayozunguka project husika na utakacho sema kitatekelezwa kabla ya kuanza kazi,
  Pia mipango yote tuipangayo hapa Tz ihusuyo maendeleo wenzetu ndio wanayo itumia kuendeleza nchi yao Botswana,lakini sisi wenyewe tuliopanga mikakati hiyo bado tupo nyuma,tunadai nchi ni kubwa je china nayo isemeje kwa ukubwa wa nchi na uwingi wa watu? na india isemeje? canada je?

  Wakati ndio huu wakujivua gamba tufanye kazi kwa maendeleo ya Taifa tajili wa mali asili masikini wa kipato
   
 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Engineer,
  Bongo serikali inawapigia magoti wawekezaji. Tangu enzi za Mkapa na huyu ****** mwekezaji ndiye mkombozi wao.
   
 4. B

  BENTA Member

  #4
  Apr 16, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nakupigia saluti mkuu raisi wa Zimbabwe ila nakuomba umweleze kijana wako raisi wetu Kikwete afanye kama unavyofanya wewe kwani watanzania tunaibiwa mchana kweupe kwenye madini na mikataba feki anayoingia na wazungu.Inawezekana yeye binafsi anaambulia makombo lakini ajue raisi wa Misri sasa hivi yuko mahakamani kujibu tuhuma zidi yake wakati wa utawala wake na akipatikana na makosa adhabu yake ni kifo.Kama jirani yako ananyolewa wewe tia maji.
   
 5. A

  Awo JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2011
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 790
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Kuna tatizo moja tu. Mugabe is too old and will expire soon. How sure is he of what will take place when he is gone? Talking about visionary leader. The way I see it once he is gone there will just be anarchy in Zimbabwe. I see another Ivory Coast after Houphouet Boigny.
   
 6. eliakeem

  eliakeem JF-Expert Member

  #6
  Apr 16, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 2,905
  Likes Received: 1,010
  Trophy Points: 280
  Bravo Mugabe, the only true son of Africa currently we have....
  The only way to incorporate the indigenous people in the modern economy is by giving them shares from those big multi-national companies...... Though education on ''what is shares'' to the common people should be given.......

  Ajira si kuwashirikisha wananchi kwenye nchi........ kusema wananchi wanafaidika na ajira toka kwenye makampuni haya ni ujingaaaa...!!!!
   
 7. K

  Koba JF-Expert Member

  #7
  Apr 16, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
  Only ****** ndio wanaweza kumsikiliza na kumwamini huyu mwendawazimu,miaka 30 in power bado anataka nini huyu? alipewa nchi ambayo ilikuwa ina export Chakula Africa nzima angalia sasa hata wenyewe sasa hawana chakula na millions of Zimbabweans wameishia kuwa wakimbizi tuu,anachoongea ni kizuri masikioni lakini practically ni upuuzi mtupu,alijaribu nyerere na azimio lake la Arusha tukaishia kupanga foleni za sukari na unga wa yanga,nasikitika sana na watu wenye mawazo kama ya huyu mzee...Mugabe must go sasa.
   
 8. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #8
  Apr 16, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Mugabe ni kiongozi mwenye maono ya mbali watu wanaompinga ni kwa sababu anatishia maslahi yao tu na sio vinginevyo. Laiti na Tanzania ingeiga sera kama hiii tungekuwa huru ndani ya nchi yetu.
   
 9. K

  Koba JF-Expert Member

  #9
  Apr 16, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
  ......watu wengine sijui kama huko kichwani kuna kitu kimebaki,anza na TANESCO basi waambie wakupe shares maana 100% made in Tanzania.
   
 10. K

  Koba JF-Expert Member

  #10
  Apr 16, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
  ...uhuru gani umekosa kwa makampuni ya nje kuwekeza TZ? sana sana yamewapa wengi more freedom & more riches through employment & services,funga basi makampuni yote ya nje kama ya simu,hotels,manufacturing etc ili uwe huru ndani ya nchi yako
   
 11. P

  Percival JF-Expert Member

  #11
  Apr 16, 2011
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 2,567
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Swadakta maneno yako. Umeweka kila kitu dhahiri hapo. Vipi kiongozi anasifiwa ambaye ameleta njaa na umasikini nchini kwake ? Haya yanatokea hapa kwetu Afrika tu, Wale wanao uwa nchi zao wanasifiwa !!

  Koba umesahau birth day yake ya miaka 85 - alivyo zichoma dola za uma kwa wine, shampen, caviar na mambo chungu mzima wakati 90% ya watu wake wakipata ugali mkavu au na mgagani wanashukuru !!
   
 12. Congo

  Congo JF-Expert Member

  #12
  Apr 16, 2011
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,272
  Likes Received: 559
  Trophy Points: 280
  Busara yako ovyo kabisa.
   
 13. G

  GJ Mwanakatwe JF-Expert Member

  #13
  Apr 17, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 241
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  TZ tusiwalaumu wawekezaji bali sisi wenyewe ndio tunakula nao njama( mikataba mibovu), tatizo rushwa.
   
 14. Tutafika

  Tutafika JF-Expert Member

  #14
  Apr 17, 2011
  Joined: Nov 4, 2009
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 160
  wanaosema mugabe kaleta njaa hawajui alieweka vikwazo ni nani?, hivi mgeni tajiri akija kwako nyumbani nawe unajiita tajiri?, kama wenye nchi si matajiri basi nchi sio tajiri! Mugabe ni mfano wa kuigwa acheni ubabaishaji!
   
 15. eliakeem

  eliakeem JF-Expert Member

  #15
  Apr 18, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 2,905
  Likes Received: 1,010
  Trophy Points: 280
  koba unapojibu hoja zangu usianze na matusi...... Maana mimi binafsi sitaki kutukanana na mtu yeyote hapa JF.....hapa nimekuja kujifunza na kufundisha.........kama una msongo wa mawazo ya huko ughaibuni ulikozamia mimi sina namna ya kukusaidia zaidi ya kukupa pole.....
  Kimsingi hoja yangu hukuielewa........nina maana makampuni yote makubwa ambayo yamewekeza....mathalani kwenye mawasiliano na madini......kungekuwa na sheria ambayo inawataka wananchi wawe na hisa 25% na serikali 25% halafu makampuni nayo yawe na 50%. Hii ingesaidia kubakiza faida nchini kwa hiyo hiyo 50%........
   
 16. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #16
  Apr 18, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Labda unaridhika watz kuwa makarani,na wahudumu kwenye hizo kampuni unazodai zinawekeza tz. Hauoni tofauti kama labda hizo kampuni kubwa za nje zingekuwa na majority shareholders ambao ni natives? Tatizo hatujazoea kuona kampuni kubwa zikimilikiwa na watanzania weusi. Lakini nakwambia ingekuwa sahihi hata Barick kumilikiwa na wazawa kuliko ilivyo sawa na hiyo inawezekana serikali ikitaka. Hakuna nchi iliyoendelea duniani kwa uchumi wake kumilikiwa na wageni kwa kisingizio cha uwekezaji..lazima wazawa ndio wamiliki njia kuu za uchumi kwa kiwango kikubwa kuliko wageni ndipo mtakuwa huru!
   
 17. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #17
  Apr 19, 2011
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  17 April 2011 Last updated at 15:54 GMT
  Zimbabwe profits from mining rights
  By James Melik Reporter, Business Daily, BBC World Service
  [​IMG] Chinese ministers signed trade deals during a visit to the capital Harare in February 2011
  Continue reading the main story Zimbabwe - New Era?  Zimbabwe appears to have created a "win-win" situation for itself with legislation giving locals 51% control of the country's mining industry.
  President Robert Mugabe calls the policy "indigenisation" whereby, under a controversial law that came into force last year, all foreign companies operating in Zimbabwe were given five years to hand over a controlling share to local companies.
  But with rumours of a snap election the programme has been intensifying.
  The new law targets the mining sector, the country's biggest source of export revenue.
  It requires that indigenous Zimbabweans must have a 51% stake of all companies by September 2011.
  If the government's stance does drive away some of the companies already operating in Zimbabwe, there are others which will be happy to exploit the country's resources.
  "The country can then benefit from increased Chinese investment instead of almost non-existent western investment," says Robert Besseling at Exclusive Analysis.
  Public doubts
  Continue reading the main story "Start Quote

  For many years they have been extracting serious wealth out of our country and much of this wealth has not come back to the people of Zimbabwe"
  End Quote Supa Mandiwanzira Journalist
  According to Mr Mugabe, the idea is to empower the masses, whereas others say it will cripple industry and impoverish Zimbabwe yet further.
  Some of those who ostensibly stand to gain from the indigenisation process have doubts as to who really will benefit.
  Wishart Mashipe, the director of a small company that came out of a youth empowerment project, is disappointed about recently losing out on a tender to run gold milling centres for the government.
  The bulk of the deal has gone to a company registered in the British Virgin Islands.
  "It is these kinds of things which result in people saying the indigenous process is reserved for the powers that be," he says.
  He believes that to keep the momentum and the excitement flowing for the youth, there has to be a few success stories.
  "I hope there are other indigenous people who have a better success story to tell," he laments.
  National benefits
  President Mugabe is fully behind the moves for mining companies and other foreign owned businesses to give a majority shareholding to indigenous Zimbabweans.
  The plan is, that through government-run organisations such as the Zimbabwe Mining Development Corporation, various groups will be empowered - war veterans, youth, women's groups and entrepreneurs short of capital.
  [​IMG] Robert Mugabe's rhetoric has been seen by some as pre-election posturing
  Supa Mandiwanzira, a prominent figure in black empowerment for many years, says that the mining companies, particularly the multinationals, have given indigenous Zimbabweans a very raw deal.
  "For many years they have been extracting serious wealth out of our country and much of this wealth has not come back to the people of Zimbabwe but has been externalised," he says.
  With Zimbabwe coming out of a decade-long crisis of hyper-inflation, hunger and political violence, the government does not have the cash to buy a controlling stake in mining companies, some of which are valued at a billion dollars or more.
  'Forced transfer'
  According to Harare-based economist John Robertson, the value of the government's 51% in any company will be the sovereign rights to the minerals underground.
  Continue reading the main story "Start Quote

  For China there is certainly a huge commercial potential, especially with western companies pulling out or being pushed out"
  End Quote Robert Besseling Exclusive Analysis
  "But a forced transfer of shares is very much a property rights issue because the owners of the mines are having to relinquish not only 51% of their shares, but also control over an enterprise they have built," he says.
  The platinum mining company ZimPlats, which is 87% South African owned, is one specifically mentioned by president Mugabe as a company that should be taken over by his government.
  In a statement, Zimplats say the company is in discussion with the government regarding compliance with the indigenisation act.
  The share price of Zimplat's majority shareholder, Impala Platinum, fell by 3% on the Johannesburg stock exchange as soon as details of latest indigenisation legislation emerged.
  Working partnerships
  Mr Robertson believes the legislation will have a profound effect on Zimbabwe's mining industry.
  "If government does become the effective owner of the mining industry, new mining development will come to almost a complete standstill," he asserts.
  There might be a few exceptions - coal can be mined at not very great depth.
  "But minerals which are some hundreds of metres underground will remain undiscovered," he says.
  Continue reading the main story "Start Quote

  If you have the second largest proven resource of platinum in the whole world, how are you going to scare investment away, because they still want that platinum"
  End Quote Supa Mandiwanzira Journalist
  "And people who know about some of these things at the moment will probably decide not to reveal their knowledge and simply wait for a different administration to come to the country and make the business of investing in the extraction of such minerals more profitable," he maintains.
  But Mr Mandiwanzira believes the sheer abundance of Zimbabwe's mineral resources will continue to attract investors.
  "There is no investment that will be scared away on the basis that Zimbabwe has the resources that the world requires," he says.
  "If you have the second largest proven resource of platinum in the whole world, how are you going to scare away investment because they still want that platinum?" he asks.
  He advocates that clever companies will come in and give the 51% to indigenous companies, work with indigenous people, and make more money because they will have the Zimbabwean people on their side.
  "And they will be allowed to make as much profit as they like and take it out of country," he says.
  Chinese investors
  Zimbabwe also has a back-up plan, which allows them to attract Chinese investment.
  In March, Zimbabwe's government signed a loan package agreement with China worth $585m - which is the largest such package in Zimbabwe's history.
  It covers a wide variety of sectors including education, health care but it also includes direct financing of the government for the amount of $100m.
  A risk to rely so heavily on one nation?
  "Zimbabwe has a huge amount of platinum and gold and an unprojected amount of diamonds," says Robert Besseling.
  "So for China there is certainly a huge commercial potential, especially with western companies pulling out or being pushed out, for China and other countries such as Korea and India to move in instead."
  The major issue for the Mugabe government is that they have not been able to cancel the sanctions and they have not been able to restore budgetary aid especially by the western countries.
  "For China and other countries which have become recent investors and which have not imposed sanctions on the regime, they have been given promises that any future or even past investments will not be at risk of being expropriated," Mr Besseling says.
  There have been reports however, that Chinese investments are very unpopular, just as they are in Angola and Zambia.
  "But we have to differentiate between the popular appeal and the government's opinion," he says.
  He adds: The government realises that despite public sentiment against China, it has to attract non-traditional investors in order to secure a revenue flow
   
 18. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #18
  May 19, 2011
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Hatimaye tumejiunga na wa-bangladeshi
  MIMI NASEMA...WATENDAJI WANAJITAHIDI KUFELISHA SERA ZA SISIEM ILI IONEKANE HAIFAI....!
  KAMA VILE ZERA YA "VIJIJI VYA UJAMAA" ambapo watendaji wasioitaka walikuwa wanapeleka watu misituni kwa kusema NYERERE anataka mkaishi misituni ...na kweli watu waliliwa na simba........!
  NAPE SHTUKA....MUKAMA SHTUKA.....!
   
 19. G

  GJ Mwanakatwe JF-Expert Member

  #19
  May 21, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 241
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi hapa Afrika viongozi waliobaki ni Mugabe na Gadaffi tu? Wengine wapo wapi?
   
 20. m

  muraweto Member

  #20
  May 21, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe umechoka kabisa hawa wa tz wanaotawala kwa hiyo miaka kumi nakuondoka madarakani wakiwa wameuza nchi ndo unawafagilia? ona wanavyoua wananchi nyamongo - tarime wakitetea hao wazungu wasio na manufaa yoyote kwa wazawa
   
Loading...