Only ****** ndio wanaweza kumsikiliza na kumwamini huyu mwendawazimu,miaka 30 in power bado anataka nini huyu? alipewa nchi ambayo ilikuwa ina export Chakula Africa nzima angalia sasa hata wenyewe sasa hawana chakula na millions of Zimbabweans wameishia kuwa wakimbizi tuu,anachoongea ni kizuri masikioni lakini practically ni upuuzi mtupu,alijaribu nyerere na azimio lake la Arusha tukaishia kupanga foleni za sukari na unga wa yanga,nasikitika sana na watu wenye mawazo kama ya huyu mzee...Mugabe must go sasa.