Muandika thread ungefunguka kuwa ni Rais wa ZIMBABWE to fauti na hapa inaonekana ni RaIsi wa TANZANIA.
GAZETI LA KIU 23 NOVEMBER
Na Mitaandao ya Habari
Kwa mara ya kwanza Rais Robert
Mugabe wa Zimbabwe amewajia
juu hadharani wahubiri wa kilokole
wa nchi hiyo wanaojiita 'Manabii'
na kuwataka Wazimbabwe kuwa
macho nao kwani ni Manabii wa
uongo!
Akizungumza katika mazishi
ya shangazi wa mkewe, Rais
Mugabe alisema kuwa baadhi ya
manabii hao wa uongo wamekuwa
wakiwadanganya waumini wao
kuwa wana uwezo wa kutenda
miujiza mbalimbali kumberni
usanii mtupu wenye lengo la
kuwaibia na kuwasababishia
umasikini wananchi.
Mazishi hayo ya Mavis Mugadza
(Shangazi wa Grace Mugabe)
yalifanyika Jumapili ya wiki
iliyopita katika kanisa la
Holy Cross la Chikomba na
kuhudhuriwa na watu wengi
wakiwemo mawaziri wa serikali.
Mugabe alisema "Wahubiri hawa
wanajitia wanaoteshwa na Mungu
mambo yanayotokea baadae
kumbe ni uongo mtupu."
Rais Mugabe ambaye ni
mkristo wa madhehebu ya
Katoliki aliendelea kuwaponda
watumishi hao wa Mungu kwa
kutumia lugha kuu za nchi hiyo
za kizimbabwe na kiingereza
na kusema, "Wachache sana
ndio wakweli ambao wamepewa
kipawa cha maono na Mun~,
lakini na hawaendekezi katika
kuhubiri miujiza kila
kukicha. Wengi tulio nao
hivi sasa ni matapeli tu,
utakuta kanisa moja
eti mume na mke wote
ni manabiil Ni kweli
hiyo?" Aliuliza Rais
Mugabe na kushangaa
kwamba Zimbabwe imejaa
watumishi wa Mungu
wanaojiita manabii
kushinda hata idadi ya
manabii waliotajwa katika
Biblia.
"Hivi sasa manabii
hawa wa uongo wapo
kila kona ya Zimbabwe.
Kama kweli ni manabii
wa Mun~ watueleze
basi asih ya laana hizi
zinazoisumbuanchi yetu.