Mugabe awalipua Walokole

Huwa nazisoma post nyingi za Chama huwa simuelewi kutokana na msingi wa hoja zake kuto kuwa objective. Sijaelewa unavosema "Huu ni mtanda soma habari kamili kabla ya kurukia" nimejaribu kuangalia btn lines lakini nikagundua Chama huja muelewa kwani alikuwa anajaribu kumshauri mleta thread kuwa haikuwa self explanatory kwa maana ya rais wa nchi gani. Aidha, kuna marais wengi kama marais wa vyama kama TFF, Bao, nk. Sijaona tatizo katika hoja yake.






Huu ni mtandao soma habari kamili kabla ya kurukia!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
TUMUOMBE MUNGU ATUPE MACHO YA ROHONI ili tuwatambue watumishi wa kweli na wa uwongo!.
 
Wewe Kakojoe Ulale, Sasa mbona wamebadilisha Heading ?? Nanukuu " Ref: Mugbe aka Mugabe Awalipua Walokole".



Kumbe we ukisikia Rais tu, akili ishakimbia na kuwaza ni nani? Unasahau kuna marais mpaka wa mashirikisho na taasisi? Jipange
 
nawashangaa sana, hawa wanaojifanya wanamtangaza Kristu masiha, lakini hawafanani kabisa na Kristu, Yeye hakuwahi kumiliki gari wala punda, hakuwahi hata kuwa na nyumba, aliishi kimaskini kama walivyo wengi, alitembea kwa mguu Yudea hadi samaria, mara chache alipanda mashua, hakuwahi kujitajirisha kwa biashara haramu au halali. yeye alihubiri na kumtaja Mungu, hakujisifu kwenye majukwaa kwa idadi ya ndege, mashua, wala hakutaja farasi na magari...
 
Back
Top Bottom