Mugabe Atoa Masharti Ndoa Za Jinsia Moja.

B.G TANTAWI

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
496
Reaction score
379
Rais Robert Mugabe Wa Zimbabwe amewapa sharti watu wanaotaka ahalalishe ndoa za jinsia moja, Akizungumza kwa kujiamini na bila kupindisha maneno Rais Mugabe amesema "Kama Mnataka nihalalishe ndoa za jinsia moja Tukubaliane kuwa Mtazaa" kwa mujibu wa wachambuzi wa masuala ya kijamii na kisayansi nchini humo, wamesema ni vigumu kwa watu hao kuzaa na huenda Rais Mugabe aliamua kuwapa hiyo changamoto ili wajitafakari upya. Source, Zimbabwean Newspaper.
 
nilisikia leo magazetini nilicheka sana, Mugabe rais alie baki afrika mwenye msimamo
 
Rais Robert Mugabe Wa Zimbabwe amewapa sharti watu wanaotaka ahalalishe ndoa za jinsia moja, Akizungumza kwa kujiamini na bila kupindisha maneno Rais Mugabe amesema "Kama Mnataka nihalalishe ndoa za jinsia moja Tukubaliane kuwa Mtazaa" kwa mujibu wa wachambuzi wa masuala ya kijamii na kisayansi nchini humo, wamesema ni vigumu kwa watu hao kuzaa na huenda Rais Mugabe aliamua kuwapa hiyo changamoto ili wajitafakari upya. Source, Zimbabwean Newspaper.

safi sana kwa hili mgabe nimekukubali.umewamaliza hao masodoma na gomola
 
Je watazaa wakati gani? Kama ataamuru wazae baada ya 'ndoa', na wakashindwa kuzaa, si atakuwa amekwisha halalisha. Kama ni kabla, mtu si anaweza kuzaa, hususani kama hakuna DNA test, na kusema ya kwamba wamezaa. Hii kali ya siku.
 
Nataka niamini 'kukubaliana' alikokusema Mugabe ni kutaka uthibitisho ki-kisayansi usikokuwa na mashaka ndio hapo kutakuwa na makubaliano!
 
Akufukuzae ........................................
 
Gays and homosexuals nao ni binadamu pia,kama wamependana na wanataka kuoana waacheni wafanye hivyo,hayo maadili na dini zenu kila mtu ana yake na tusilazimishane ndio maana TZ is a secular state...nasema YES to gay marriages!!!
 
ww umehusuriwa! Hulijui ulinenalo!
 
Samahani wamebaki wawili na Kikwete dhani hapo utakubalina nami....

Crashwise
"I can't agree with you more." means that I agree with you to a complete extent, making it impossible for me to agree with you to a greater extent.... Kwa hiyo Hero anamaanisha kuwa amekubaliana na kauli yako kwa asilimia zote.
 
It's ok to be gay .Ila sio kilazimisha society ikubali Kuwa ndoa ni Kati ya Watu wawili .ndoa ni Kati ya mwanamke na mwanaume
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom