Mugabe Atoa Masharti Ndoa Za Jinsia Moja.

Mugabe Atoa Masharti Ndoa Za Jinsia Moja.

Hehehe! kudos mzee tatizo ungetafuta mrithi miaka 10 iliyopita umuweke madarakani under your watch, tatizo ukifa sasa watu watataka hata ndoa na mbuzi zihalalishwe kama mtu na mbuzi wanapendana.
 
Gays and homosexuals nao ni binadamu pia,kama wamependana na wanataka kuoana waacheni wafanye hivyo,hayo maadili na dini zenu kila mtu ana yake na tusilazimishane ndio maana TZ is a secular state...nasema YES to gay marriages!!!

We mtutsi una matatizo kama nchi yako ilivyo.
 
Rais Robert Mugabe Wa Zimbabwe amewapa sharti watu wanaotaka ahalalishe ndoa za jinsia moja, Akizungumza kwa kujiamini na bila kupindisha maneno Rais Mugabe amesema "Kama Mnataka nihalalishe ndoa za jinsia moja Tukubaliane kuwa Mtazaa" kwa mujibu wa wachambuzi wa masuala ya kijamii na kisayansi nchini humo, wamesema ni vigumu kwa watu hao kuzaa na huenda Rais Mugabe aliamua kuwapa hiyo changamoto ili wajitafakari upya. Source, Zimbabwean Newspaper.

Hahahah...namkubali sana huyo Kifaru kuliko rais yeyote yule wa Afrika kwasasa hivi.
 
Mgabe ana roho ya paka anadunda tu
 
It's ok to be gay .Ila sio kilazimisha society ikubali Kuwa ndoa ni Kati ya Watu wawili .ndoa ni Kati ya mwanamke na mwanaume
It is not OK to be a gay!And i'm gonna get meself a sniper rifle to right the wrong!
 
It's ok to be gay .Ila sio kilazimisha society ikubali Kuwa ndoa ni Kati ya Watu wawili .ndoa ni Kati ya mwanamke na mwanaume

mbona wazee wa makanisa mengi wanaitumia biblia kuhalalisha hii kitu na wengine walishaoana??
 
Gays and homosexuals nao ni binadamu pia,kama wamependana na wanataka kuoana waacheni wafanye hivyo,hayo maadili na dini zenu kila mtu ana yake na tusilazimishane ndio maana TZ is a secular state...nasema YES to gay marriages!!!

Why not get them an unoccupied island somewhere in this world and be their president?That way,your YES would be put into practical!!!
 
Hivi hao gays kwanini wanalazimisha kuhalalishwa/kutambuliwa? tukimaliza kuwahalalisha hao gays, wavuta bangi na unga nao wataomba kuhalalishwa, wanywa gongo na firauni watafuata..... so we shall have a long list!
 
and that will be the end of the world
Hivi hao gays kwanini wanalazimisha kuhalalishwa/kutambuliwa? tukimaliza kuwahalalisha hao gays, wavuta bangi na unga nao wataomba kuhalalishwa, wanywa gongo na firauni watafuata..... so we shall have a long list!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom