Mugabe ana kichaa!!

Mugabe ana kichaa!!

Moot question.

Waafrika hawana natural genetic make-up ya upunguani kuliko Watu wa mabara mengine. Matatizo ya Kiafrika sio kielelezo cha kutangua hiyo fact ya Kisayansi.

The scientific method, au mfumo wa Kisayansi wa kutatufa ukweli, unakataa hitimosho kwamba matatizo ya Afrika ni kielelezo cha ufupi wa akili.

Kwa scientific method inavyofanya kazi, ili uweze ku propose kwamba Waafrika wana akili finyu kuliko Weupe kwa sababu Waafrika wana matatizo kuliko Wazungu, inabidi ufananishe hayo matatizo ya Waafrika dhidi ya yale ya Wazungu wakati natural factors nyingine zote ziko constant. Hizo factors zingine hakifanani. Kwa hiyo haiwezi kufanyika utafiti dhibiti, hakuna controlled experiment.

Hilo hitimisho lingekuwa valid iwapo toka zama za kale za Mawe, vitu vyote ambavyo haviamuliwi na akili vingekuwa sawa. Mazingira yao wote wawili yangekuwa sawa, na hakuna aliye mhodhi mwenzie, vijidudu vilivyoua Mimea, Watu na Wanyama vingekuwa sawa Ulaya na Afrika, Aina ya Ardhi kati yao ingekuwa sawa, mahitaji yao yangekuwa sawa na hali ya hewa ingekuwa sawa. Haya, na mengi mengine ya asili hayakuwa sawa. Kwa hiyo huwezi kusema lolote kuhusu mlinganyo wa akili kati yao kwa kutumia matatizo ya Afrika. Litakuwa hitimisho lililopungukiwa fikra za Kisayansi.

Bahati nzuri, hata hivyo, hatuna haja ya kufikiria yote hayo yasiyofikirika, ya kama ingekuwa kote kuna ardhi ya aina ile ile, au jua la utosi kali ingekuwaje. Ila tunajua Waafrika hawaku evolve kuwa mbumbumbu kwa sababu Sayansi imeenda moja kwa moja kwenye kidhibiti. Tumeuchana na kuuanika Ubongo wa binadamu, tukachambua molecular make up yao wote kama makundi. Takuta katika ngazi ya DNA, hakuna kundi la watu la rangi au Kijiografia, ambao wanafana akili. Nadharia za Dr. Watson ni watu wasiojua genetics au wabaguzi.

Mwafrika akisema hivyo mara nyingi sio mbaguzi, bali ni uninformed tu. Lakini the uninformed who ignores knowledge and reasoned science is an ignorant.

Hujajibu swali bali umeongea pumba nyiiingi ambazo hazijibu swali hata punje moja. Jibu swali bana....acha longolongo....
 
Hujajibu swali bali umeongea pumba nyiiingi ambazo hazijibu swali hata punje moja. Jibu swali bana....acha longolongo....

Nimeanza kwa kusema swali ni moot. Halafu nikaleza kwa nini.

Nitarudia kifupi: Matatizo ya Afrika hayawezi kutuambia chochote kuhusu upeo wa Waafrika.

Nikasema, tunayo tayari njia sahihi zaidi ya kujua upeo wa Waafrika bila kutegemea ma factors mengine ambayo sio conclusive: Kwa kuuchana ubongo na kuangalia biomolecular make-up yake na kulinganisha watu wote.

Wewe unaongea kwa hasira, ukiniita juha kwa kukupa genetics inavyosema. Hiyo hasira, inawezekana Kisaikolojia, ni complex inayokukula moyoni kwa sababu unaamini sisi ni punguani halafu inakuuma.

Sio kweli kwamba sisi ni vichwa panzi. Sayansi inakataa. Usiumie.
 
Sasa kama matatizo ya Afrika hayatuambii kuhusu upeo wa Waafrika, yanatuambia nini sasa?

Halafu kama swali ni "moot", kwa nini unaamini kuna njia sahihi "zaidi" ya kujua upeo wa Waafrika?
 
His explanation will be 'colonialism', 'slavery', poor leadership'.....and mind you, he's running his mouth while riding the American gravy train....

I think you are 100% correct. Notice how after you made this post and revealed what Kuhani was about to say, he completely refused to answer the question I asked.
 
Sasa kama matatizo ya Afrika hayatuambii kuhusu upeo wa Waafrika, yanatuambia nini sasa?

Mimi nimeonyesha, kwa hoja za molecular genetics, kwamba hakuna kundi la akili la binadamu linaloendana na rangi au eneo la jiografia, na kwa hiyo hakuna race au Bara la wenye akili kuliko wengine.

Kwa misingi ya the scientific method, sihitaji tena kuthibitisha hiyo argument yangu kwa kukuonyesha sababu za matatizo ya Afrika yana point kwingine.

Wewe ndio inabidi u disprove hoja yangu kwamba molecular genetics ni uongo.

Ukiiniuliza 'sasa kama ndio hivyo...' inabidi kwanza ukubali kwamba umeelewa hoja yangu, halafu ndio nitaanza kujadili huo unyuma wa Waafrika na kukuambia hilo linatueleza nini kuhusu Waafrika, jambo linalofanya baadhi yenu mdhani ni mapungufu ya nati kichwani.

Wakubaliana na molecular genetics?
 
utumiaji wa vyakula vyenye omega 3 fatty acids unaweza kuathiri upeo wa akili ya mtu bila kutegemea genetical make up. Nchi zilizoendelea nyingi ambazo wakina mama wajawazito na watoto wanatapata supplements za hizi essential fatty acids IQ yao huongezeka kwa ujumla ukilinganisha na watoto ambao mama zao na watoto wenyewe hawakupata. Brain activity ya mtoto anapokuwa mdogo pia inachangia kuchangamka kwa akili in relation na mtoto ambaye hapati brain acitivies hata kama IQ yak ni kubwa. So aprt from genetical inheritance, environmental factors zinaplay role katika upungufu wa nati especially kwa baadhi ya waafrika.
 
utumiaji wa vyakula vyenye omega 3 fatty acids unaweza kuathiri upeo wa akili ya mtu bila kutegemea genetical make up. Nchi zilizoendelea nyingi ambazo wakina mama wajawazito na watoto wanatapata supplements za hizi essential fatty acids IQ yao huongezeka kwa ujumla ukilinganisha na watoto ambao mama zao na watotot wenyewe hawakupata. Brain activiy ya mtoto anapokuwa mdogo pia inachangia kuchangamka kwa akili in relation na mtoto ambaye hapati brain acitivies hata kama IQ yak ni kubwa. So aprt from genetical inheritance, environmental factors zinaplay role katika upungufu wa nati especially kwa baadhi ya waafrika.

Nime highlight tatizo la argument yako. That is, kwa nini hai sapoti hoja ya Ndivyo tulivyo.

Ndivyo tulivyo haina 'baadhi.'

Ndio maana nasema wengi wanaitumia hii Nyani Ngabu's Complex bila kuielewa.
 
Nime highlight tatizo la argument yako.

huo ndio ukweli, lishe na brain activity majority ya waafrika hatuna hali inayosababisha tunaonekana hamnazo tukilinganishwa na wenzetu ambao hata kama IQ zao ni ndogo wanazibust kinamna na lishe.
 
Hivi kuna watu bado wanafikiri kutakuwa na VITA?
Hivi nyie mko wapi?
au hamna cha kufanya nini?
HIVI VITA KESHAACHIWA THABO MBEKI!
NA MNAJUA MSIMAMO WAKE!
So kama mnaparagana kuwa Kikwete na BUSH wavamie ZIMBABWE...Then MKO NYUMA MNO!
Na huyo KICHAKA WENU MNAO MPA TAFU...NAKUHAKIKISHIENI KUWA HATAPATA KIBALI CHA SANCTIONS ZAIDI KWANI KWA KUSAIDWA NA NYIE MAMLUKI WAKE....MUMELIPELEKEA TAIFA LA ZIMBABWE BALAA!
BALAA MNALOTAKA KULILETA TANZANIA NA DUNIA NZIMA KWA UJUMLA!
 
Mimi nimeonyesha, kwa hoja za molecular genetics, kwamba hakuna kundi la akili la binadamu linaloendana na rangi au eneo la jiografia, na kwa hiyo hakuna race au Bara la wenye akili kuliko wengine.

Kwa misingi ya the scientific method, sihitaji tena kuthibitisha hiyo argument yangu kwa kukuonyesha sababu za matatizo ya Afrika yana point kwingine.

Wewe ndio inabidi u disprove hoja yangu kwamba molecular genetics ni uongo.

Ukiiniuliza 'sasa kama ndio hivyo...' inabidi kwanza ukubali kwamba umeelewa hoja yangu, halafu ndio nitaanza kujadili huo unyuma wa Waafrika na kukuambia hilo linatueleza nini kuhusu Waafrika, jambo linalofanya baadhi yenu mdhani ni mapungufu ya nati kichwani.

Wakubaliana na molecular genetics?

Nipe kwanza majina ya waasisi wa molecular genetics na nchi/ mabara waliyotokea halafu tutaendelea na mjadala.....
 
Jmushi,

Siamini kama Best kachukua tena nnji!????

Fwatilia vyombo vya habari!

Mimi niko hapa USA na kwa kweli hakuna TENA PROPAGANDA BALI FAIR NEWS!

HABARI ZA KUWA MUGABE NI SADDAM HAKUNA!

WAMAREKANI WANATAKA AACHIWE MBEKI!

BUSH,KIKWETE NA WENGINEO NDO BADO WANAENDELEZA PROPAGANDA KWA UFINYU WAO WA SOMO LA WORLD HISTORY!

AMA KWA BAHATI MBAYA...AMA KWA KUPENDA...WALICHAGUA UPANDE MBAYA WA HISTORIA...UPANDE WA INJUSTICE,IDIGNITY AND COLONIALISM!

NI MAONI YANGU!

YATAINGIA KWENYE HISTORIA!

KIKWETE ALISHIRIKI KUIUZA NCHI NA KUTAKA TURUDI UTUMWANI!
VIBARAKA WA MKABURU!

NA MI NAKUHAKIKISHIA KUWA....WATANZANIA TUSIPOMTOA MADARAKANI..THEN SIONI NI KWANINI AFRIKA ISIUNGANE ILI KUMTOA YEYE MADARAKANI!

YE NA BUSH SI WANATAKA KUMTOA MUGABE MADARAKANI?

MBEKI,MUGABE NA HU JINTAO NAO WAKITAKA KUMFANYIA WATASHINDWA?

TENA AKAOMBE MSAMAHA NA AIOMBE TANZANIA MSAMAHA KWA NIABA YETU SISI KWANI HADHI YETU AFRIKA KESHAHARIBU MAMLUKI HAWA!
 
Wazungu wa ulaya na Marekani sio majina.....umetoa sehemu wanazotoka....kama hujui majina yao omba msaada....

Niombe msaada kwa nani wewe Nyani uliye uliza swali, au? Au ilikuwa vitendawili vya ukishindwa nipe mji? Majina ya Wanasayansi yanatusaidia nini hapa?

Waliogundua DNA double helix ndio waasisi wa Molecular Genetics. Mmoja Mmarekani mmoja Mwingereza.

Mmoja wao ame lost his marbles uzeeni. Haheshimiki tena. Anatoa madai ambayo hayatumii sayansi hiyo hiyo aliyo iasisi. Ni senile ile mbaya. In England they banned his ass from speaking in certain scientific societies.

Hivi karibuni amekuwa akiomba omba misamaha kwa bigoted notions zake. Cha muhimu kuliko vyote ni kwamba hakuwahi kuandika paper ( peer-review scientific research) inayo demonstrate his bigoted rants.

Ni mara chache, chache mno, kukuta Mwafrika riding on that man's coattails by saying Waafrika tumeumbwa wapumbavu kuliko Wazungu. Na wengine wote hapa jamvini wanaofuatisha Nyani Ngabu's Complex sidhani kama wanaelewa maana ya Ndivyo Tulivyo.
 
Niombe msaada kwa nani wewe Nyani uliye uliza swali, au? Au ilikuwa vitendawili vya ukishindwa nipe mji? Majina ya Wanasayansi yanatusaidia nini hapa?

Waliogundua DNA double helix ndio waasisi wa Molecular Genetics. Mmoja Mmarekani mmoja Mwingereza.

Mmoja wao ame lost his marbles uzeeni. Haheshimiki tena. Anatoa madai ambayo hayatumii sayansi hiyo hiyo aliyo iasisi. Ni senile ile mbaya. In England they banned his ass from speaking in certain scientific societies.

Hivi karibuni amekuwa akiomba omba misamaha kwa bigoted notions zake. Cha muhimu kuliko vyote ni kwamba hakuwahi kuandika paper ( peer-review scientific research) inayo demonstrate his bigoted rants.

Ni mara chache, chache mno, kukuta Mwafrika riding on that man's cocktails by saying Waafrika tumeumbwa wapumbavu kuliko Wazungu. Na wengine wote hapa jamvini wanaofuatisha Nyani Ngabu's Complex sidhani kama wanaelewa maana ya Ndivyo Tulivyo.

Angalia yanayotokea Zimbabwe na Afrika kwa ujumla....mtu yoyote mwenye akili timamu, angalau kisirisiri atajiuliza maswali mengi mno pamoja na je, labda ni kweli ndivyo tulivyo? Sasa wengine hatuogopi kusema wazi ni nini tunachofikiria. Hicho ndicho kinachotutenganisha mimi na wanafiki kama wewe. Mimi nilipokuomba majina ya hao waasisi wa hayo mambo nilitegemea kuona majina ya Kiafrika.....kumbe ni mazungu hayo hayo unayoyaponda hapa na wakati huo huo kutumia matokeo ya tafiti zao kujenga hoja zako za kijuha!!! Bado hujanishawishi. Waafrika Ndivyo Tulivyo.
 
Viongozi wetu wanautumia udhaifu wa watu kama kina NYANI NGABU wenye kudai AFRIKA NDIVYO TULIVYO!
Sasa hizo ni falsafa za kiMKAPA!
Kwani ndiye aliyeutumia udhaifu wa kutokuelewa kwa wananchi na kuuza nchi yao.
Hakujua YANA MWISHO!
 
Mugabe ni combination ya mambo mengi yanaomfanaya awe alivyo...

1) Uchungu/Asira za kifungo chake
2) Degree nyingi
3) Umri umeenda
4) Kubanwa na Western imperialist (Bush/Blair/Brown)
5) Paranoia kubwa
6) Grace Mugabe

Mix it all up unapata one Senile dude in his old age....
 
Ameona yaliyomkumba SADDAM!
Kwani hata mwanzoni kama asingekubaliana nao ili wabakize ardhi...Wangemuua!
Mwacheni MZEE WA WATU!
NYIE MNATAKA NCHI YAKE IPEWE MBWA KAMA YETU?
 
Viongozi wetu wanautumia udhaifu wa watu kama kina NYANI NGABU wenye kudai AFRIKA NDIVYO TULIVYO!
Sasa hizo ni falsafa za kiMKAPA!
Kwani ndiye aliyeutumia udhaifu wa kutokuelewa kwa wananchi na kuuza nchi yao.
Hakujua YANA MWISHO!

Thibitisheni basi kuwa Sivyo Tulivyo.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom