Mugabe Agomea Mazungumzo Ya Kuachia Madaraka

Bado vijana wengi wa Kitanzania hawajui maana ya mapinduzi......

Sijawahi kuona mapinduzi ambayo anayepinduliwa anaombwa aache madaraka........

Mpaka muda jumuia ya kimataifa imeshindwa kuelewa nini kimefanyika Zimbabwe
Labda nikupe somo dogo ambalo huenda unalijuwa au kwa bahati mbaya hujui.

Tanzania tukiwa ndani ya mfumo wa chama kimoja tulikuwa na mkoa wa majeshi na wanajeshi wote walikuwa ni wanachama wa ccm.

Halikadharika mpaka leo jeshi la Zimbabwe ni wanachama wa ZANU-PF na ukumbuke Mugabe ni Comrade mwenzao pamoja na mapungufu yake wanamtunzia heshima ndogo aliyobaki nayo.

Ni lazima uelewe jeshi la Zimbabwe halikuingilia mgogoro wa Zimbabwe kama nchi, bali jeshi limeingilia mgogoro wa chama chao na yule makamu wa Rais aliyefukuzwa na Mugabe ni Comrade mwenzao ni veteran wa kupigania uhuru jina lake maarufu walimwita Mamba.

Unapoangalia kinachoendelea Zimbabwe usifananishe na nchi nyingine, wale wanajeshi hawakuwajali wananchi wa Zimbabwe kwa sababu Mugabe ni kitambo tu anazinguwa tu, ila kilichofanywa na jeshi ni kukilinda chama chao cha Mapinduzi cha ZANU-PF.

Nadhani utakuwa umepata mwangaza sasa ni kwa nini Tanzania wanajeshi walipewa option anayetaka jeshi abaki jeshini na anayetaka ccm abaki ccm.
Ndio kina Makamba, Komba, Kinana, Kikwete, Nnauye,Chilligati,Mkuchika na wengineo wakaamuwa kubaki ccm na kuacha jeshi.

Leo Magufuli anarudia makosa hayahaya kuwajaza wanajeshi serikalini kuna kitu bado hakielewi vizuri.
 
LATEST ON COUP

Mugabe orders Chiwenga and his team to withdraw soldiers from the streets to the barracks before he can negotiate anything with them. Curiously, they're busy complying. You will not see a soldier on the street until the negotiations are over.
 
Bado vijana wengi wa Kitanzania hawajui maana ya mapinduzi......

Sijawahi kuona mapinduzi ambayo anayepinduliwa anaombwa aache madaraka........

Mpaka muda jumuia ya kimataifa imeshindwa kuelewa nini kimefanyika Zimbabwe
Bado wanatumia hekima ili mzee akapumzike baada ya yule changudoa wake aliekua anamlaghai amuachie uongozi kukimbia.
Bado wanamuheshimu km war veteran kiongozi wao ndo mana kuna mazungumzo.
Vinginevyo ungesikia ya Samuel Doe.
Nawaona waZim wana utu kidogo km wabongo maana
 
Hapo ndio nimekuelewa

Ni kweli kwa umri wa mzee Mugabe ni dhahiri kuwa uwezo wake kiutendaji umepungua sana

Nadhani hii ni hekima na kwa heshima ya kumtaka aachie ngazi akiwa kama Baba wa taifa la Zimbabwe........

Lakini ukitazama hali halisi ya Zimbabwe ni dhahiri kuwa hii nchi inataka watu wapya wenye mawazo mapya ya ki leo ili kuipeleka mbele Zimbabwe kutoka kwenye huo mkwamo......

Wao kumpendekeza makamu wa Raisi aliyetimuliwa ni sawa na kuweka mvinyo wa zamani kwenye chupa mpya......
 
Ninathibisha rasmi upo gizani na uelewi mfumo wa Zimbabwe ukoje.

Ni mpaka hiki kizazi cha maveteran kife ndio Zimbabwe inaweza kuja kupata fikra mpya.

Kosa kubwa la Mugabe ni kumfukuza kazi huyu makamu wa Rais ambaye ni veteran mwenzao.
 
Endelea kuota ndoto za mchana, hivi mtu mwenye mamlaka anaweza kuwekwa kuzuizini?

Usinijibu mimi, jijibu mwenyewe ukilipata jibu sahihi jihurumie mwenyewe kwa jinsi ulivyo mjinga.
Mkuu kwann unatumia muda wako kujibizana na Mtoto wa mama?
 
Duh! Ujui unenalo... Mugabe hana uwezo huo wala nguvu za kukataa tena. Akiwa na hekima ndogo atakabidhi Madaraka kwa makamu wake aliyemfukuza na yeye ama kwenda uhamishoni au kuomba akae kwa amani nchini (ambayo sidhani kama itawezekana kutokana na maadui aliojitengenezea ndani ya nchi). Tanzania ni option mzuri ya yeye kuja Kukaa.
Aje Tabata Mawenzi kwa........
 
Nani kakwambia itakuwa ni serikali ya Zanu-PF pekee !!!! Unaelewa maana ya serikali ya mseto ??? Serikali itakayojumuisha na opposition party ndio inaenda kuundwa Zimbabwe,

Muwe mnasoma mtandaoni
Tatizo English
 
Watamtoa kwa nguvu! Wakati wake umefikia kikomo. Mama watoto sijui wame mkolimba au
 
Labda nikupe somo dogo ambalo huenda unalijuwa au kwa bahati mbaya hujui.

Tanzania tukiwa ndani ya mfumo wa chama kimoja tulikuwa na mkoa wa majeshi na wanajeshi wote walikuwa ni wanachama wa ccm.

Halikadharika mpaka leo jeshi la Zimbabwe ni wanachama wa ZANU-PF na ukumbuke Mugabe ni Comrade mwenzao pamoja na mapungufu yake wanamtunzia heshima ndogo aliyobaki nayo.

Ni lazima uelewe jeshi la Zimbabwe halikuingilia mgogoro wa Zimbabwe kama nchi, bali jeshi limeingilia mgogoro wa chama chao na yule makamu wa Rais aliyefukuzwa na Mugabe ni Comrade mwenzao ni veteran wa kupigania uhuru jina lake maarufu walimwita Mamba.

Unapoangalia kinachoendelea Zimbabwe usifananishe na nchi nyingine, wale wanajeshi hawakuwajali wananchi wa Zimbabwe kwa sababu Mugabe ni kitambo tu anazinguwa tu, ila kilichofanywa na jeshi ni kukilinda chama chao cha Mapinduzi cha ZANU-PF.

Nadhani utakuwa umepata mwangaza sasa ni kwa nini Tanzania wanajeshi walipewa option anayetaka jeshi abaki jeshini na anayetaka ccm abaki ccm.
Ndio kina Makamba, Komba, Kinana, Kikwete, Nnauye,Chilligati,Mkuchika na wengineo wakaamuwa kubaki ccm na kuacha jeshi.

Leo Magufuli anarudia makosa hayahaya kuwajaza wanajeshi serikalini kuna kitu bado hakielewi vizuri.
Daah. Classic lesson. Ahsante Mkuu.
 
Haya sasa wale wote walionibishia baada ya kuwaambia Mugabe hawezi pinduliwa waje hapa
Sio kwamba hawezi kupinduliwa, mpaka sasa hivi ni heshima tu kwake iliyofuata mkondo. Ila kusema hawezi kupinduliwa kinachofanya isiwezekane nini? Sema hao wanajeshi wameamua kumtunzia mzee heshima yake, swala la kusema kutengwa na AU kwani Zim itakuwa ya kwanza? Kinachofanyika ni kutaka kumaliza mambo kistaarabu... Hata wakiamua kumnyongelea mbali atajiteteaje?
 
Mtu amelala nyumbani hawezi kuongoza anachopigania nini?
 
Morgan Tsvangirai ni kibaraka wa wazungu na atakae tawala Zimbabwe lazma awe kibaraka wa wazungu
 
Back
Top Bottom