Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,561
- 39,542
vyoteUnamuondoa kwa mamlaka gani? Sheria ama katiba?
vyoteUnamuondoa kwa mamlaka gani? Sheria ama katiba?
anacheza politic huyo risasi ya kichwa ndio jawabu.Amekubali kuachia madaraka ila kuna mgogoro wa kikatiba maana anatakiwa amwachie madaraka makamu wa rais, 1. makam wa kwanza mke wake Grace ametoroka na Emmerson alishamfukuza ,hivyo hakuna makamu wa rais wa kupokea madaraka!
Ni rahisi kuandika "VYOTE" lakini ni vigumu saaana kusoma "vyote"vyote
All options are on the table for them to choose!Jongwe ndio mwisho hana nguvu tena akiendelea kugoma atapigwa risasi maana hakuna option nyingine