MADAM T
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 6,230
- 3,942
Pole, muulize Yahya!Haya sasa wale wote walionibishia baada ya kuwaambia Mugabe hawezi pinduliwa waje hapa
Pole, muulize Yahya!Haya sasa wale wote walionibishia baada ya kuwaambia Mugabe hawezi pinduliwa waje hapa
Hana jeshi sasa anaongoza nini?. Unadhani bila jeshi kuna nchi. Akikaa kizuizini tu miezi mitatu kwisha habari yake maana hakuna kilichosimama nchini.Yuko kizuizini na mtu aliyemfukuza katika nafasi ya umakamu wa Rais ndo amepewa nafasi kuongoza serikali kwa muda yeye bado anagoma?
MuGABE AENDE TENA TZ AKAPANGE MIPANGO YA KUIKOMBOA ZIMBABWE.
HAHAHA
Duh! Baadhi ya Watanzania wenzetu hii karne haiwafai kabisa, mlitakiwa muishi karne nyingi zilizopita na hivyo hivi leo watu kama Magufuli tungewasoma tu vitabuni. Tatizo ni kwamba Tanzania imebakia kama hifadhi ya watu kama wewe na kwa namna hiyo watu kama Magufuli bado wanaweza kusukumiziwa Urais hata kama uwezo, akili, busara wala hekima hawana...! Mugabe bado yuko hai kwa vile tu hakuna umuhimu wa kumshughulikia kwa namna yoyote ile...ni kumpa muda tu wa kujitafakari katika uzee wake akisubiri kipyenga.Haya sasa wale wote walionibishia baada ya kuwaambia Mugabe hawezi pinduliwa waje hapa
Heshima pekee aliyobakiza japo nayo ni ya kiwango cha chini ni kukubali kujiuzulu chini ya shinikizo.Its matter of time. Wenzake washamchoka
Duh! Hii comment imebidi tu nicheke, kuna watu mnajiona bora kuliko wengine, haya lipumba cha maana ulichofanya kunzidi? Changia hoja sio kuattack personalityDuh! Baadhi ya Watanzania wenzetu hii karne haiwafai kabisa, mlitakiwa muishi karne nyingi zilizopita na hivyo hivi leo watu kama Magufuli tungewasoma tu vitabuni. Tatizo ni kwamba Tanzania imebakia kama hifadhi ya watu kama wewe na kwa namna hiyo watu kama Magufuli bado wanaweza kusukumiziwa Urais hata kama uwezo, akili, busara wala hekima hawana...! Mugabe bado yuko hai kwa vile tu hakuna umuhimu wa kumshughulikia kwa namna yoyote ile...ni kumpa muda tu wa kujitafakari katika uzee wake akisubiri kipyenga.
Asije atatusababishia balaa aliyataka mwenyeweDuh! Ujui unenalo... Mugabe hana uwezo huo wala nguvu za kukataa tena. Akiwa na hekima ndogo atakabidhi Madaraka kwa makamu wake aliyemfukuza na yeye ama kwenda uhamishoni au kuomba akae kwa amani nchini (ambayo sidhani kama itawezekana kutokana na maadui aliojitengenezea ndani ya nchi). Tanzania ni option mzuri ya yeye kuja Kukaa.
Nani kakwambia itakuwa ni serikali ya Zanu-PF pekee !!!! Unaelewa maana ya serikali ya mseto ??? Serikali itakayojumuisha na opposition party ndio inaenda kuundwa Zimbabwe,Kaka serikali ni Ile Ile ya ZANU -PF, Na makamu wa rais anakuwa rais, mapinduzi Gani unamuomba mtu a resign mwenyewe? Ingekuwa ni mapinduzi kusingekua na upatanishi mkuu
Serikali ya mseto? Kama Ile ya Shein na Seif?Nani kakwambia itakuwa ni serikali ya Zanu-PF pekee !!!! Unaelewa maana ya serikali ya mseto ??? Serikali itakayojumuisha na opposition party ndio inaenda kuundwa Zimbabwe,
Muwe mnasoma mtandaoni
Kaka serikali ni Ile Ile ya ZANU -PF, Na makamu wa rais anakuwa rais, mapinduzi Gani unamuomba mtu a resign mwenyewe? Ingekuwa ni mapinduzi kusingekua na upatanishi mkuu
keshapinduliwa tayari....hapo anapewa tu chance ya kusave faceHaya sasa wale wote walionibishia baada ya kuwaambia Mugabe hawezi pinduliwa waje hapa
Kuna vijitu vinajifanya vijuaji sana, kulazimishwa kuresign sio mapinduzi, haya Tony Blair alilazimishwa kuachia ngaziView attachment 631788
Kama utakuwa umekosa akili hata hapa ndio basi tena.
Hizi ni diplomatic language tu, Mugabe alishaondolewa madarakani na yupo kizuizini.
Haya mkuukeshapinduliwa tayari....hapo anapewa tu chance ya kusave face