Mugabe Agomea Mazungumzo Ya Kuachia Madaraka

Mugabe Agomea Mazungumzo Ya Kuachia Madaraka

Endelea kuota ndoto za mchana, hivi mtu mwenye mamlaka anaweza kuwekwa kuzuizini?

Usinijibu mimi, jijibu mwenyewe ukilipata jibu sahihi jihurumie mwenyewe kwa jinsi ulivyo mjinga.
Sijajua majadiliano yenu yameanzia wapi, lakini mpaka sasa Mugabe yuko kizuizini.
 
Duh! Ujui unenalo... Mugabe hana uwezo huo wala nguvu za kukataa tena. Akiwa na hekima ndogo atakabidhi Madaraka kwa makamu wake aliyemfukuza na yeye ama kwenda uhamishoni au kuomba akae kwa amani nchini (ambayo sidhani kama itawezekana kutokana na maadui aliojitengenezea ndani ya nchi). Tanzania ni option mzuri ya yeye kuja Kukaa.
Unajua maana ya mapinduzi mkuu?
 
Endelea kuota ndoto za mchana, hivi mtu mwenye mamlaka anaweza kuwekwa kuzuizini?

Usinijibu mimi, jijibu mwenyewe ukilipata jibu sahihi jihurumie mwenyewe kwa jinsi ulivyo mjinga.
Mpaka utukane? Mjinga aliyekuzaa
 
ZIMBABWE: Zimbabwe military authorities are working to put in place an interim government that will lead the country till elections. Emmerson Mnangagwa, the vice president sacked by Mugabe, who fled to South Africa last week, is the military’s preferred candidate. Leading opposition leader and former prime minister, Morgan Tsvangirai, was also being considered by the generals to deputise Mnangagwa. (The Independent, Zimbabwe)

Zimbabwe's Movement for Democratic Change (MDC) Morgan Tsvangirai and war veterans leader Christopher Mutsvangwa reportedly flew back home from South Africa on Wednesday. According to the privately-owned NewsDay newspaper, this came as reports indicated that both Tsvangirai and Mutsvangwa were "ready to enter negotiations to form a transitional government with former vice president Emmerson Mnangagwa". (News 24, South Africa)
 
Wewe anajaribu tu kutetea usichokijua. Mapinduzi ni kuondoa kwa nguvu serikali hiyo madarakani kwa njia yoyote Ile. Zimbabwe jeshi limeamua kubadilisha serikali. Je hiyo utaiita nini?
Kaka serikali ni Ile Ile ya ZANU -PF, Na makamu wa rais anakuwa rais, mapinduzi Gani unamuomba mtu a resign mwenyewe? Ingekuwa ni mapinduzi kusingekua na upatanishi mkuu
 
Wewe anajaribu tu kutetea usichokijua. Mapinduzi ni kuondoa kwa nguvu serikali hiyo madarakani kwa njia yoyote Ile. Zimbabwe jeshi limeamua kubadilisha serikali. Je hiyo utaiita nini?
Haya ni mapinduzi.
Sijui wamesomewa albadir na wazungu hawa pusi cat!?
 
Kaka serikali ni Ile Ile ya ZANU -PF, Na makamu wa rais anakuwa rais, mapinduzi Gani unamuomba mtu a resign mwenyewe? Ingekuwa ni mapinduzi kusingekua na upatanishi mkuu
Unamuomba ajiuzulu amekataa!
Niambie kifuatacho.
 
Watu wana roho za paka, daa huyo Mugabr miaka yote hiyu ya urais na uzee wote huo, bado anang'ang'ana tu
 
Magofuli zamu yake lini jamani??
IMG-20171116-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom