Mufti Zubeir: Kuna mijitu ilikuwa na kesi za Uhujumu Uchumi, huruma ya Magufuli ikawataka warudishe walizoiba

Bahati nzuri waislamu wanajiongoza ga hawahitiji mpuuzi kama huyu, Magufuri kafanya dhuluma kwa watu mchana kweupe kapora hela za watu kauua watu unakuja kusifia upumbavu kama huo uislamu hauko kihivyo magafuri alikua Iblisi.

Punguza hasira utapata kitukizuri chakuandika, ukirudia rudia kusoma hiyo posti yako mara tano utajigundua wewe ni mjinga kiasi gani.
 
Mimi mwislamu ila napenda kumtukana huyu shekh....... nchi inafwata na sheria na katiba unasamehe wenye pesa nenda kasamehe walioba waambia warudishe thamani ya walichoiba waachiwe jela zetu zibaki tupu unachaguwa wa kuwasamehe tena wale wenye makosa makubwa.
Hawa viongozi wa dini ni wanafiki tu.
 
Eti hawa ndio viongozi wa dini!!

Kwan mkuu unataka kila mufti au kiongozi wadini awasifu ndiyo mtambue kama kiongozi wa Dini?

Mbona mnae yule alifukuzwa kanisani kwake akajitwika uaskofu, mbona mnae yule wa Karagwe na Shoo bado mnamtaka Mufti zuberi wa nini?
 
M
Eti hawa ndio viongozi wa dini!!
Nataka viongozi wa dini waseme mnachotaka kusikia, kile msichotaka kusikia wakisema wanakua sio viongozi wa dini.

Lazima tuwe jamii ya kukubali kusikia tusiotaka kusikia. Sio kila siku kusikia tunayotaka kusikia.

Hao viongozi wa dini ni binadamu, wana hisia, wana mitanzamo yao pia. Tusikilize na mitazamo yao.

Hatuwezi kua tunataka nchi yenye watu wenye mawazo yanayofanana muda wote. Viongozi wote wawe kama Bagonza, haiwezekani, Bagonza ni Bagonza na Mufti simba ni Mufti Simba.
 
Hata wewe hapo ulipo nimchafu kwa matendoyako.

Rais ni kiongozi mkubwa sana kwa cheo chake kwahiyo watu wawili watatu mkiona hakufanya vizuri kwenu basi mjue hichomnachokiona kibaya kilifanyika kwa ajili ya maslahi ya wengi.
Si kweli yule alikuwa ni shetani anaye takaswa kwa nguvu kubwa sana wakati yuko shimon sasa hata mkimtakasa haita saidia
 
Hata wewe hapo ulipo nimchafu kwa matendoyako.

Rais ni kiongozi mkubwa sana kwa cheo chake kwahiyo watu wawili watatu mkiona hakufanya vizuri kwenu basi mjue hichomnachokiona kibaya kilifanyika kwa ajili ya maslahi ya wengi.
Achana na wahuni wa Mbowe.

Mbowe aliuza chama, akabariki kina Mdee kwenda Bungeni halafu akakimbia nchi.

Mbowe alivyo mafia amewapumbaza misukule wake kila siku wanawatukana kina Mdee huku yeye akichekelea huko Dubai kwenye mahoteli makubwa akitafuna mpunga wa mgao wa wabunge viti maalum.
 
Acheni kutumia nguvu kumchafua hayati Magifuli.
mkuu,kwa ambao tayari walikuwa age above 18yrs,wanaujua ukweli kuhusu kazi alizo fanya jpm,wanaotaka kumchafua jpm,labda wasubiri watoto wanao zaliwa kwa Sasa ndo waje ,wawalishe matango poli kwamba jpm hakufanya kitu ktk nchi hii.
 
Back
Top Bottom