Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 53,620
- 133,324
Mvua hatuhitaji kwenye jiji hili, mvua zikinyesha watu biashara hazifanyiki watu wanakosa pakulala.Kuchelewa au Kuwai kwa mvua ni kawaida tena kawaida sana (sio leo hiki kitu kutokea)
Ungeniambia mwaka mzima mvua hazijanyesha apo sawa.
Wewe unataka kuniambia kama dua hazitasomwa bas mwez wa nne tutapita pakavu??? Jibu hapana
Kama una mawasiliano na mufti ebu mwambie "wakazi wa dar hatuna uhitaji sana wa iyo mvua"
Sent using Jamii Forums mobile app
huyo mufti aite waumini wasaidiane kupiga dua itokee baridi sio mvua ambaye imekua kero kwenye hili jiji
Sent using unknown device