Al Zagawi
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 2,528
- 1,628
Huu ni ukweli mchungu.....Inategemea na uwezo wako wa kufikiri. Mungu kawapa mito na mabonde kibao wao badala ya kujiongeza wanaitana wakaombe mvua.
Sasa huko jangwani kama Niger au Saudia kusiko na mvua wafanyeje? Si watakesha kila siku muda wote usiku na mchana kuomba mvua. Wambie hao jamaa waache ujinga hamna sababu ya kuomba mvua waende rufiji, malagarasi, pangani n.k wakalime. Sio wanajibanza hapo Dar wanaomba mvua.
Wavivu wa kufikiri wenye kumuhusisha Mungu na kila jambo hawatokuelewa...
Huwa najiuliza....yale mamilioni ya lita za maji yanayoachwa kupita pale jangwani kuelekea baharini kama yangezuiwa kwa asilimia 50 tu na kuingizwa kwenye mfumo wa maji safi, hivi Dar pangekuwa na shida ya maji...?
Sent using Jamii Forums mobile app