Makanyaga
Platinum Member
- Sep 28, 2007
- 11,824
- 7,562
Hapana. Mvua za Dar wakati mwingine zinaweza zikanyesha wakati wowote ule, lakini za masika ni confirmed kuwa kawaida huwa zinaanza March 15, ni utafiti nimefanya na huwa haziumalizi mwezi wa 5 zinakuwa zimekatika. Kuna mwaka fulani sikumbuki ni mwaka gani, ziliwahi kunyesha all year around, mwaka mzima ziliumaliza zinanyesha tu.