Mufti ataka waislam kuomba mvua

Mufti ataka waislam kuomba mvua

Wewe kwa kutumia neno "kimeosha" inaonesha IQ yako ni chini ya 60

Unajua nini maana ya "Kimeosha" ? Hilo ni kosa la kiuandishi,kuna herufi zimekosekana,laiti kama ninge hariri nilichokiandika,ningesahihisha hilo neno na kuandika kama nilivyokusudia ya kuwa "....kimeonyesha"

Sasa hapo naomba unieleze ni ipi nafasi ya IQ katika kosa la kiuandishi ?

Nasubiri jibu.
 
Kwa hiyo wewe umeona kwamba umefanya kosa la kiuandishi ila kwangu umehukumu kuwa halikuwa kosa la kiuandishi?
 
Kwani hapa kuna makosa ya kimatamshi?

Sent using unknown device
 
Kwa hiyo wewe umeona kwamba umefanya kosa la kiuandishi ila kwangu umehukumu kuwa halikuwa kosa la kiuandishi?

Lako si kosa la kiandishi,bali ni kosa la kiuhalisia wa mambo yaani HALI. Na hakuna kinyume chake katika hilo.
 
Ni kupoteza muda. Mungu huyo huyo mnayetaka kumuomba jumapili alete mvua, ndiye aliyesababisha kimbunga IDAI kuleta maaafa Msumbiji, Malawi na Zimbabwe, ambayo yamesababisha ukame kwenye nchi za huku Afrika Mashariki ambao utakoma tu kwa jinsi ya mipangilio na utaratibu aliouweka toka misingi aliyoiweka alipoziumba mbingu na nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar mvua mnafanyia nini au mnahitaji mafuriko! Mvua zinyeshe vijijini Dar kuna unajisi mwingi.
 
Mufti na jopo lote linalosapoti harakati zake nikiwa kama muwakilishi wa wajumbe wa dar naombeni ujumbe huu uwafikie "dar hatuhitaji mvua, labda baridi, hatuhitaji mvua"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hizo mvua zinazoombwa ni kua msimu umepitiliza au vipi? nilijua Dar sasa hivi wapo kwenye summer time.
 
Wanaotenda mema wapo tatizo hao wanaotenda mema wamejisahau kuwakumbusha ndugu zao kuacha mambo maovu ya ushoga

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa hiyo ushoga ndio umefanya mvua isinyeshe?? hahaha nyie watu mnavituko sana ila sio makosa yenu, siku zote mtu hukimbilia kujificha kwenye makosa ya mwenzie na kudhani yeye ni msafi ila kumbuka,
Hakuna m'bora kati yenu isipokua MCHA MUNGU,
swali, Wewe ni Mcha Mungu?
 
Back
Top Bottom