Mufti ataka waislam kuomba mvua

Mufti ataka waislam kuomba mvua

Hhaaha kwa hiyo mungu kazuia mvua na sasa wanataka kuomba aiachie? Waafrica wengine hawana kazi ya kufanya.

Ukweli ni upi sasa kuhusu mvua ? Au wanasayansi wanatuambia nini kuhusu kuchelewa kwa mvua,katika mji wa Dar ?
 
Mchungaji mwakasege ndio kazuia mvua, simumwambie aiachie, ila chato geita katoro mvua kilasiku,
 
Madhambi yamezidi mno hilo jiji, mashoga wametapakaa kila kona....Tunawaombea, kwa uwezo wake Mola itanyesha...
 
Mkuu watu wanataka kufanya Ibada ya kuomba mvua ww unasema hawana kazi ya kufanya hiyo ni akili au matope

Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea na uwezo wako wa kufikiri. Mungu kawapa mito na mabonde kibao wao badala ya kujiongeza wanaitana wakaombe mvua.

Sasa huko jangwani kama Niger au Saudia kusiko na mvua wafanyeje? Si watakesha kila siku muda wote usiku na mchana kuomba mvua. Wambie hao jamaa waache ujinga hamna sababu ya kuomba mvua waende rufiji, malagarasi, pangani n.k wakalime. Sio wanajibanza hapo Dar wanaomba mvua.
 
Ukweli ni upi sasa kuhusu mvua ? Au wanasayansi wanatuambia nini kuhusu kuchelewa kwa mvua,katika mji wa Dar ?
We unataka mvua inyeshe ili iwe nn? Kama ni kilimo mmetumiaje hadi sasa mabonde ya mito kibao yaliyopo nchini. Hii nchi inapenda sana kudeka. Ingekuwa jangwa kama Saudia au Libya sijui wangefanyaje. Labda wangekesha kila siku wanaomba mvua
 
Kaka una fahamu mdogo juu ya Mambo yanavyoendeshwa hapa duniani.

Kwa ufupi,Mola wetu ana mpa amtakaye na kinyume chake ni ukweli.

Nakuja,kukupa maelezo.
 
Tukivumbua teknolojia ya kutengeneza mawingu,tatizo la mvua litakuwa limeisha.
 
Kaka una fahamu mdogo juu ya Mambo yanavyoendeshwa hapa duniani.

Kwa ufupi,Mola wetu ana mpa amtakaye na kinyume chake ni ukweli.

Nakuja,kukupa maelezo.
Sound tu hizo
 
Back
Top Bottom