Kujua mtizamo au mawazo ya mtu ni hadi ukae upige nae story ambazo majibu yake yanahusu fikra za msingi katika maisha.
Sasa kibaya wadada wakiwa wanatongozwa wanawaza Mengine kabisaaaa, kengine unakuta hakana hata story kenyewe ni kuitikia tu, ndio, asante, nimependa, nitakumiss, me to story hadi mwanaume aanzishe.