JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,968
Tulipendana sana na Binti mmoja, mapenzi yakawa moto moto. Hakuna nilichotaka toka kwa binti yule akaninyima, aliniamini na kunisikiliza kwa kila jambo, ikafika wakati nikajawa na kiburi, kuwa na wanawake wengine likawa jambo la kawaida sana na kanifumania mara kibao akanisamehe.
Kwa sasa kabadilika, haoneshi tena kunijali, hata simu hakuna tena labda mimi nipige, sms nazo zimekuwa moja kwa siku.
Nahisi ananionea aibu, nimekata tamaa, nasubiria tu kutamkiwa mimi na wewe basi, kivitendo kama nishaachika kitambo.
Msaada pls.