Muda wowote kuanzia sasa nitaachika

Muda wowote kuanzia sasa nitaachika

Tulipendana sana na Binti mmoja, mapenzi yakawa moto moto. Hakuna nilichotaka toka kwa binti yule akaninyima, aliniamini na kunisikiliza kwa kila jambo, ikafika wakati nikajawa na kiburi, kuwa na wanawake wengine likawa jambo la kawaida sana na kanifumania mara kibao akanisamehe.

Kwa sasa kabadilika, haoneshi tena kunijali, hata simu hakuna tena labda mimi nipige, sms nazo zimekuwa moja kwa siku.

Nahisi ananionea aibu, nimekata tamaa, nasubiria tu kutamkiwa mimi na wewe basi, kivitendo kama nishaachika kitambo.

Msaada pls.
kwanini usiendelee na hao uliokuwa nao kipindi uko nae?
 
nahisi hakuwa anakupa kila kitu! is that possible? huko nje ulikuwa unakwenda kutafutani? nadhani amehitimu darasa ulokuwa unampa la kukufumania kila mara na kukusamehe sasa na yeye amekwisha ona nje, kwani inakuuma? jitulize, hilo liwe funzo kwako hata ukipata mingine mwenye mfano wa huyo usirudie hako ka mchezo kako kachafu!
 
Daaanh nilijua demu anajifagilia tu kuwa boya wake anamuheshimu ila anazingua so ameamua kunipenda mimi kwa dhati kumbe boya mwenyewe ndo wewe JEKI????!!!!!!

Nashukuru kunisaidia huu mtego,sasa nammega kweli nilidhani kicheche kumbe wewe ndio unamponza yule binti!!!????Ngoja nimtulize moyo na kutunza heshima ya wanaume hapa Jf

Na nikikukuta naye unamzingua boya wewe ntakupa kesi tu ukasote ngome
 
wanaume nao huwa wanaachika?
tena sana tuuuu mimi nilichaacha wawili kutokana na mambo kama hayohayo ingawaje nilikuwa naumia wakati naamua kuacha lkn ilikuwa njia sahii vinginevyo ningetolewa hata roho kwakweli.ni heri kuwa kibogoyo kuliko....mpendwa wangu uloachwa huyo namkumbusha ukishikwa shikamana jamiiiii na huyo alimgeuza huyo msichana kama kitega uchumi chake wanaume nao siku hizi wanavuma wanapenda kweli kurahisishiwa maisha.sasa ndo akome.napata hisia jinsi gani huyo dada alikuwa anaumia pindi mvulana ulivyokuwa kiruka njia.
 
Tulipendana sana na Binti mmoja, mapenzi yakawa moto moto. Hakuna nilichotaka toka kwa binti yule akaninyima, aliniamini na kunisikiliza kwa kila jambo, ikafika wakati nikajawa na kiburi, kuwa na wanawake wengine likawa jambo la kawaida sana na kanifumania mara kibao akanisamehe.

Kwa sasa kabadilika, haoneshi tena kunijali, hata simu hakuna tena labda mimi nipige, sms nazo zimekuwa moja kwa siku.

Nahisi ananionea aibu, nimekata tamaa, nasubiria tu kutamkiwa mimi na wewe basi, kivitendo kama nishaachika kitambo.

Msaada pls.

wewe mpendwa weka kiswahili vizuri,MLIPENDANA au yeye ndo alikupenda sana?maana nashindwa kuelewa mngependana ungepata wapi muda wa kurukaruka na visichana vyako vingine?ukapata kiburi ati kwakuwa unapendwa ukizani wewe ndo pumzi yake hivyo mkiachana tu hakuna maisha?na wewe wala huna upendo naye kwake ila kutokana na maisha yalivyo magumu umekosa mtu wa kukurahisishia maisha kila viruka njia vyako unavyovipata wanataka wao ndo uwarahisishie maisha.pole sana yaani mimi natamani akuache kabisaaaaaaaaaaaaa kama alikuwa anajibu hata hiyo moja shukuru hasitishe kabisa andelee na mabo yake atatokea mwingine mwenye kujua thamani ya mapenzi.
ulishausikia wimbo huo ndivyo bint wa watu alivyokuwa anaumia grenade by bruno mars.
 
inabd ww ndio uwe mtumwa kwake na
uonyeshe uaminifu mkubwa kw
ake km unaweza hata ukajdai umesahau simu yako kwake il axome text il apate kujldhxha inabd pia ufanye uchunguz wa kna labda kpnd unafanya hzo mamboz alkuwa anakuvutia kasi na xaxa ana m2 ka2lia anakuangalia unavyohangaika
 
Tulipendana sana na Binti mmoja, mapenzi yakawa moto moto. Hakuna nilichotaka toka kwa binti yule akaninyima, aliniamini na kunisikiliza kwa kila jambo, ikafika wakati nikajawa na kiburi, kuwa na wanawake wengine likawa jambo la kawaida sana na kanifumania mara kibao akanisamehe.

Kwa sasa kabadilika, haoneshi tena kunijali, hata simu hakuna tena labda mimi nipige, sms nazo zimekuwa moja kwa siku.

Nahisi ananionea aibu, nimekata tamaa, nasubiria tu kutamkiwa mimi na wewe basi, kivitendo kama nishaachika kitambo.

Msaada pls.


Wewe ni fuska na hauhitaji msaada wowote kwani sikio la kufa alisikii dawa. Demu alishakuchoka na hapo alipo ananitafuta mimi ili akinipata akupigie simu kukutamkia kuwa fuska chukua nusu yako mimi nawe basi nipo na mtanashati Jamaa_Mbishi. Mkuu JEKI, umechezea shilingi chooni, pole ila ndivyo dunia ilivyo unakumbuka wema wa mtu umpendaye pale anapokupiga chini or vice versa. Mkuu burudika tu na machangu kwa sasa, niachie nimchukue bibie mie kiulaiiiini kama bao la kisigino.
 
Last edited by a moderator:
asante Crystal clear, wengine wameamua kuponda, nahitaji solution kurescue hii hali.

Kapime ukimwi beba cheti cha majibu mupelekee, ukikuta unao sepa.

Koma ukome kabisa wala sikuonei huruma kwa tabia hiyo ya eti wanawake wengi ulizani yeye hana roho ya kuumia.

Kashapata mtu mwingine anayempa muda wake wa maongezi na sms na wish iwe hivi ukweli kabisa.

Sikushauri mengi ila jiulize umechoka tabia ya kuwa na wengi? Na jiulize umepata faida gani kwa hilo. Je upo tayari kuwa na yeye tu na kumeleka kufunga ndoa? Kama hata moja haujibu yes basi usimsumbue binti wa watu wala usijaribu kumuomba msamaha.

Duh I wish kapata mwingine akuache kweli tena awe aliekuzidi hata kwa mvuto wa sura kwanza etc
 
Last edited by a moderator:
Weka picha jinsi alivyokua anakufumania na unipe namba yake mimi nimpigie nikurekebishie sasa hivi,You never know what you had till you lose it

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
BAK, Fixed Point, its a blessing to have people like you in our lives.
Plz kibao cha shaggy 'when a woman is fed up' kimuongezee pilipili huyu ndugu.

Natanguliza shukrani
 
Last edited by a moderator:
tatizo la baadhi ya wanaume mnakariri kuwa mwanamke akikupenda atakuvumilia maovu yakn yote.na kwa kuwa alishakufumania akawa anakusamehe ukajiaminisha kuwa kafa kaoza haoni wala hasikii juu yako! kumbe hukujua uvumilivu una mwisho wake!pole
 
Nimejifunza kuwa katika mtandao huu siyo rahisi kupata msaada bali kuzidi kuumizwa, nilikuja nakimbia nikijua nitapata matibabu kumbe ndo naongezewa maumivu.
 
Watu wengine bwana...sasa wewe hapo unataka ushauri gani?
Kimsingi we ni Mbulula na huna jipya.Wakati unathaminiwa na huyo dada wa watu ukajifanya Kidudu kusimama sanaaa!Sasa dada kashakuona we huna jipya unajifanya kujutia..Hivi angekua dada ako ndio kafanyiwa hivo we ungejiskiaje?
Unategemea huyo dada akiwa na mtu mwingine atamuamini kweli?
 
Aii kam niikupa kila kitu vyote umefunua funua skuchiii ng'oooodo. Wanaume bAna ukipendwa penddeka
 
Kaa nae chini muombe msamaha kama umedhamiria kutulia naye.
Na uachane na hao vimada.
 
BAK, Fixed Point, its a blessing to have people like you in our lives.
Plz kibao cha shaggy 'when a woman is fed up' kimuongezee pilipili huyu ndugu.

Natanguliza shukrani
Thanx best.......
Nimetafuta hicho kibao cha Shaggy sijakiona, nimeona hiki cha R Kelly......
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom