Ngwananzengo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 1,911
- 1,322
Acha kulalama mtoto wa kiume. Kaa na ''sherry'' wako mwambie bayana jinsi unavyoumia binafsi na unavyoumizwa na historia ya penzi lenu. Mpe mkakati ulioupanga wa jinsi utakavyozaliwa upya katika mapenzi. Akikubali basi jitahidi uwe na ''swaga'' za kikongo, uwe tayari kumbebea ''sherry'' wako hata kipima joto. All the Best, ktk kuanguka ndipo tunapojifunza.