Muda wowote kuanzia sasa nitaachika

Muda wowote kuanzia sasa nitaachika

wanaume nao huwa wanaachika?

tENA WANAMIMINWA, NINI KUACHIKA, WANABOA SANA , MAANA YEYE ALIKUWA ANAONA HUYO DADA HATOWEZA KUMUACHA, MIMI NIMEFURAHI SANA MAANA WAMESHAZOEA KUWASUMBUA WANAWAKE.
 
Inaonekana yamekukuta,punguza hasira
 
Inaonekana yamekukuta,punguza hasira

Nashukuru Mungu , hayajawahi kunikuta , ila nina hasira nionapo wasichana wengi wanalia kuhusu wanaume. Umri wangu wa hayo mambo ulishapita na kwa sasa nategemea kuitwa bibi soon, ila inaniuma sana kuona wasichana wadogo na watoto wenye rika la wanangu wanavyoteseka kuhusu wanaume .
 
Tenga muda na ufanye maombi kwa ajili yao,binafsi nafkiri kila kitu kina muda wake,pia upande mwingine kuna lundo la wanawake wanaofanya haya....
 
she has had enough, labda alifikiri utabadilika na utamthamin sasa amechoka kaamua kubwaga manyanga. Tafuta sehemu tulivu umuite muongee utajua mustakabali wa mapenzi yenu. HUWEZI KUJUA THAMANI YA KITU MPAKA UKIPOTEZE

hapo umenena mkuu!
 
Tulipendana sana na Binti mmoja, mapenzi yakawa moto moto. Hakuna nilichotaka toka kwa binti yule akaninyima, aliniamini na kunisikiliza kwa kila jambo, ikafika wakati nikajawa na kiburi, kuwa na wanawake wengine likawa jambo la kawaida sana na kanifumania mara kibao akanisamehe.

Kwa sasa kabadilika, haoneshi tena kunijali, hata simu hakuna tena labda mimi nipige, sms nazo zimekuwa moja kwa siku.

Nahisi ananionea aibu, nimekata tamaa, nasubiria tu kutamkiwa mimi na wewe basi, kivitendo kama nishaachika kitambo.

Msaada pls.
Kwni mchezo si anakupa???weka appointment nae kisha mtie Mimba inaweza saidia.
 
Tulipendana sana na Binti mmoja, mapenzi yakawa moto moto. Hakuna nilichotaka toka kwa binti yule akaninyima, aliniamini na kunisikiliza kwa kila jambo, ikafika wakati nikajawa na kiburi, kuwa na wanawake wengine likawa jambo la kawaida sana na kanifumania mara kibao akanisamehe.

Kwa sasa kabadilika, haoneshi tena kunijali, hata simu hakuna tena labda mimi nipige, sms nazo zimekuwa moja kwa siku.

Nahisi ananionea aibu, nimekata tamaa, nasubiria tu kutamkiwa mimi na wewe basi, kivitendo kama nishaachika kitambo.

Msaada pls.

Mva nyibi ikigulaga ngogo goyo= Mbwa mwzi huwa analipa mgongo wake
 
sometime mkipendwa sana mnavimba bichwa.
 
Hii habari ya kucheat sio kabisa yani,ww umezingua alafu unataka usaidiwe
bora basi angekua mke tungeona umuhimu wa kukusaidia.sio mkeo ni kama mchumba vile
unamfanyia hivyo!

je ukimuoa si ndo utafanya utaahira zaidi.

Mi naona upigwe chini tu
 
Tulipendana sana na Binti mmoja, mapenzi yakawa moto moto. Hakuna nilichotaka toka kwa binti yule akaninyima, aliniamini na kunisikiliza kwa kila jambo, ikafika wakati nikajawa na kiburi, kuwa na wanawake wengine likawa jambo la kawaida sana na kanifumania mara kibao akanisamehe.

Kwa sasa kabadilika, haoneshi tena kunijali, hata simu hakuna tena labda mimi nipige, sms nazo zimekuwa moja kwa siku.

Nahisi ananionea aibu, nimekata tamaa, nasubiria tu kutamkiwa mimi na wewe basi, kivitendo kama nishaachika kitambo.

Msaada pls.

.kaka JEKI hapa nalikuwa nikiandika huku nacheka, kwani kivitendo ushapata majibu yake kama kutokukujari, no calls, sms moja kwa siku, nadhani unachokisubiri wewe ni siku umwone na huyo mpya aliyechukua nafasi yako, kwani mwenyewe umekiri kuachika kitambo..na kwasababu umesema kuachika na pia ukasema "Hakuna nilichotaka toka kwa binti yule akaninyima" hadi kaka jambazi kashtuka hebu twambie ulimaanisha unachotaka umfanyie(e) au akufanyie(e)..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom