Muda wa wakulima kutajirika umewadia

Muda wa wakulima kutajirika umewadia

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
15,774
Reaction score
35,994
Hali ya hewa ya ukame inashawishi kuwa kufika mwezi June kutakuwa na upungufu wa chakula

Wakulima wenye nafaka tutakula kuku Kwa mrija😄

Vijana mawinga na wengine wanaojifanya wa mjini njaa zitawauma na chakula mtanunua tu,

Nilileta Uzi hapa nikitafuta wateja wa mahindi Nina zaidi ya Tani 10 nilitangaza bei ya 800 kg ila sikupata mteja ila Sasa PM wamejaa wadau hapa jamii forums wakitaka kunipa 1000 kg ila Bado nimeweka ngumu,nawambiwa SIUZI MAHINDi

Wakenya wanazunguka vijijini kusaka mahindi wakulima tumeweka ngumu

Mwezi May nafungua store zangu nauZa kuanzia Tshs 1500 Kwa kg hutaki usikanyage Ngara
 
Hongera mkuu.Kilimo ni utajiri.
 
Mahindi kwa Burundi now ni shilingi 600 kwa kilo moja , na gunia la 100 au 108 ni shilingi 2000 ushuru hadi bongo , na mwaka huu Zambia na Malawi wamevuna Sana so danganya wasiovuka boda to boda , mwaka Jana Zambia hawakua na mahindi mna walinunua Tanzania so relax biashara ya mazao ina wenyewe siku zote
 
Burundi ipi mkuu unaongelea?
Burundi jua linawaka kama huku?
Zambia ndo sijui
 
Hali ya hewa ya ukame inashawishi kuwa kufika mwezi June kutakuwa na upungufu wa chakula

Wakulima wenye nafaka tutakula kuku Kwa mrija😄

Vijana mawinga na wengine wanaojifanya wa mjini njaa zitawauma na chakula mtanunua tu,

Nilileta Uzi hapa nikitafuta wateja wa mahindi Nina zaidi ya Tani 10 nilitangaza bei ya 800 kg ila sikupata mteja ila Sasa PM wamejaa wadau hapa jamii forums wakitaka kunipa 1000 kg ila Bado nimeweka ngumu,nawambiwa SIUZI MAHINDi

Wakenya wanazunguka vijijini kusaka mahindi wakulima tumeweka ngumu

Mwezi May nafungua store zangu nauZa kuanzia Tshs 1500 Kwa kg hutaki usikanyage Ngara

Hujui Tabia ya Soko la mahindi wewe.

NFRA wataachia mzigo muda sio mrefu na Watanzania kwa bei chini ya 1500 kwa kg,sasa tulia na mahindi yako.

Watu wako shamba ni wanapanda tena.
 
Nilileta Uzi hapa nikitafuta wateja wa mahindi Nina zaidi ya Tani 10 nilitangaza bei ya 800 kg ila sikupata mteja ila Sasa PM wamejaa wadau hapa jamii forums wakitaka kunipa 1000 kg ila Bado nimeweka ngumu,nawambiwa SIUZI MAHINDi
Msimu huu wakulima wenye stock ya nafaka ni mwendo wakupiga mruzi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom