Mkulima baby !!!Selfie stick ya ukweli hiyo.
ha ha jamaa mbunifu na nokia yake yakizamaniHaoni selfie stick hapoo....mamb ya pichaz
duuh siku akiweka chaji si anaweza sababisha voltage dropSasa angepata dude kama hili, angepiga selfie hadi achoke hakuna haja ya power bank wala kuhofu kuhusu chajiView attachment 357117
Hii itapona kweli na funga funga ya "tisiaraei" siku ya leo.Sasa angepata dude kama hili, angepiga selfie hadi achoke hakuna haja ya power bank wala kuhofu kuhusu chajiView attachment 357117
mkuu hi simu gani.Sasa angepata dude kama hili, angepiga selfie hadi achoke hakuna haja ya power bank wala kuhofu kuhusu chajiView attachment 357117