de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 10,582
- 21,083
Ni tiba endapo unatembea njia sahihi, ila kama una expect mkuu you'll die waitingMuda ni tiba
Ni tiba endapo unatembea njia sahihi, ila kama una expect mkuu you'll die waitingMuda ni tiba
Na kuna wengine hawapambani mambo yanafunguka tuDah inatia huruma
Kuna wengine kupambana wanapambana sana tu ila mateso kwao ni pie
Wazungu wanamtumia sana huyu mwalimu, ndio maana wapo mbali kiuchumi.Biashara zikigoma ama michongo inafeli jipe muda
Hata Mimi nilikuwa naamini hivyo.endapo kama uta play smart la sivyo hakuna kitakacho badilika
Wanautumia ila siyo kwa kusubiri. NO.Wazungu wanamtumia sana huyu mwalimu, ndio maana wapo mbali kiuchumi.
Acha us*Ng hizi engagement farming hazikusaidii kitu