ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,314
- 41,063
- Thread starter
-
- #21
Hii naibeba kama ilivyo thank you sweetheart 😘Jitahidi uwe mchoyo au umatch art ya ku-reciprocate.
Ukipewa muda na wewe toa wako, ukinyimwa na wewe kuwa mnyimi.
View attachment 3609979
Yeah, ndiyo maana unapaswa kuwa makini na aina ya mtu utakaye mruhusu awe na mamlaka juu ya muda wako katika uwanja wako wa maisha.Sahihi mkuu ndio maana kuna watu husema isingekua marafiki wabaya ningekua mbali sana
Ni kama alizuzuka kutoona mda uliopo mbele yake kwa sababu ya marafiki
Sawa 🙏🙏
Shukrani mkuu🙏🙏🙏Yeah, ndiyo maana unapaswa kuwa makini na aina ya mtu utakaye mruhusu awe na mamlaka juu ya muda wako katika uwanja wako wa maisha.
Mimi sijui muda ni nini ila nasemaje.Muda ni nini hasa?🤔
Kwa wengi wetu, muda ni kipimo kinachotuonyesha sasa ni saa ngapi, ni asubuhi, mchana au usiku
Tunautambua kwa kuangalia saa, simu au hata mwendo wa jua
Lakini je, muda ni saa tu?
Mara nyingi tunasikia maneno kama
Tumia muda wako vizuri
Usichezee muda wako
Muda ni mali
Muda ukipita haurudi tena
Muda utasema
Hapo ndipo ninapojiuliza, muda ni nini hasa?
Je, ni sekunde, dakika na saa zinazopita?
Au ni nafasi tunayopewa kuishi, kupenda, kujifunza na kutimiza ndoto zetu?
Umewahi kunyimwa muda na mtu uliyekuwa unamhitaji?
Mimi niliwahi kumpenda mtu
Na nilivyo nikipenda mtu hua ni huyo huyo siwezani na stress za wapenzi wengi so hua nategemea vingi kutoka kwake kwa sababu nakua sina sehemu nyingine ya kuvipata
Kila nilipomuonesha nime m miss ghafla nilipokea SmS
Imethibitishwa umepokea kiasi fulani kutoka kwa fulani
Kisha ananiambia S, kanunue wine unywe
Kitu ambacho si kibaya ila sikua naitaji pesa yake tu nilimtaka yeye pia
Sasa sielewi labda nilikua nazidisha sana kumuitaji mpaka akachoka au la🤔
Nilifurahi kwa sababu alikuwa ananijali kwa namna yake
Lakini ukweli ni kwamba sikuwa nahitaji pesa pekee
Nilikuwa mpweke.
Nilitamani anipe muda wake
Kila nikisema Babe, I miss you
Badala ya mazungumzo marefu au muda wa kuwa pamoja, nilipokea tena pesa
Sio kwamba sikuthamini pesa (hapana)
Lakini wakati mwingine mtu hahitaji zawadi, anahitaji uwepo wako Anahitaji muda wako
Anahitaji kusikilizwa
Ndipo nikagundua kuwa kuna vitu ambavyo pesa haviwezi kununua, na kimojawapo ni muda wa mtu
Na si katika mapenzi tu
Kuna watu hunyimwa muda wa kujieleza
Kuna watu hunyimwa muda wa kuonyesha vipaji vyao
Kuna watu hunyimwa muda wa kusikilizwa
Kuna watu hunyimwa hata muda wa kuponya majeraha yao
Kuna watu hupoteza fursa mbali mbali kwa sababu walinyimwa mda
Basi, muda ni nini?
Unaelewa nini ukisikia neno mda?
Kwangu, muda ni maisha yenyewe
Kwa sababu kila kitu kinahitaji muda
kupenda, kusamehe, kukua, kupona, kufanikiwa na hata kuondoka
Na ndiyo maana tunasema
Muda ni mali, lakini zaidi ya mali, muda ni maisha
Ukimpa mtu muda wako, umempa sehemu ya maisha yako ambayo haitarudi tena ❤️⏳
ShesRise_1 🖐
Unataka kutumia mda wako na nani?Mimi sijui muda ni nini ila nasemaje.
If time is money, lets spend it together.
Any potential living thing.Unataka kutumia mda wako na nani?
Vizuri😍Any potential living thing.
Inamaana bila muda tungekua tunafanya vitu bila mwelekeo wala nidhamu si ndio ?Muda ni njia ya mabeberu kuwaondolea watu furaha.
Kwa kuwa tuna muda, maana yake tuna vipimo vya nyakati za kila kitu mpaka na uhai wetu maana yake kila kitu lazima kiende kwa muda. Lazima ufanye vitu fulani kwa nyakati fulani au upambane ili vitu hivyo vitokee kabla ya nyakati hizo.
🤔🤔🤔 mambo ya kuhofia kesho🙌Maisha ya mwanadamu baada ya kupimwa kwa muda yamekua ya taabu sana. mahangaiko na hofu. Binadamu aliyeishi bila kujali muda, alikua ni mwenye furaha sana, asiye na hofu wala malengo mahususi yapimwayo na muda.
Tuko 1448 na sio 2026Ukiondoa dhana ya muda, raia wangekua na maisha bora sana
Hii inajumuisha na ukweli kwamba, peponi au mbinguni ni timeless au eternal. Watu wa huko wanafuraha zaidi kwakuwa hawakimbizani na muda.
Tuko mwaka 1448
Leo ndiyo mwaka wetu mpya
Wow hapa nimepatia code Muhimu sana.Muda ni nini hasa?🤔
Kwa wengi wetu, muda ni kipimo kinachotuonyesha sasa ni saa ngapi, ni asubuhi, mchana au usiku
Tunautambua kwa kuangalia saa, simu au hata mwendo wa jua
Lakini je, muda ni saa tu?
Mara nyingi tunasikia maneno kama
Tumia muda wako vizuri
Usichezee muda wako
Muda ni mali
Muda ukipita haurudi tena
Muda utasema
Hapo ndipo ninapojiuliza, muda ni nini hasa?
Je, ni sekunde, dakika na saa zinazopita?
Au ni nafasi tunayopewa kuishi, kupenda, kujifunza na kutimiza ndoto zetu?
Umewahi kunyimwa muda na mtu uliyekuwa unamhitaji?
Mimi niliwahi kumpenda mtu
Na nilivyo nikipenda mtu hua ni huyo huyo siwezani na stress za wapenzi wengi so hua nategemea vingi kutoka kwake kwa sababu nakua sina sehemu nyingine ya kuvipata
Kila nilipomuonesha nime m miss ghafla nilipokea SmS
Imethibitishwa umepokea kiasi fulani kutoka kwa fulani
Kisha ananiambia S, kanunue wine unywe
Kitu ambacho si kibaya ila sikua naitaji pesa yake tu nilimtaka yeye pia
Sasa sielewi labda nilikua nazidisha sana kumuitaji mpaka akachoka au la🤔
Nilifurahi kwa sababu alikuwa ananijali kwa namna yake
Lakini ukweli ni kwamba sikuwa nahitaji pesa pekee
Nilikuwa mpweke.
Nilitamani anipe muda wake
Kila nikisema Babe, I miss you
Badala ya mazungumzo marefu au muda wa kuwa pamoja, nilipokea tena pesa
Sio kwamba sikuthamini pesa (hapana)
Lakini wakati mwingine mtu hahitaji zawadi, anahitaji uwepo wako Anahitaji muda wako
Anahitaji kusikilizwa
Ndipo nikagundua kuwa kuna vitu ambavyo pesa haviwezi kununua, na kimojawapo ni muda wa mtu
Na si katika mapenzi tu
Kuna watu hunyimwa muda wa kujieleza
Kuna watu hunyimwa muda wa kuonyesha vipaji vyao
Kuna watu hunyimwa muda wa kusikilizwa
Kuna watu hunyimwa hata muda wa kuponya majeraha yao
Kuna watu hupoteza fursa mbali mbali kwa sababu walinyimwa mda
Basi, muda ni nini?
Unaelewa nini ukisikia neno mda?
Kwangu, muda ni maisha yenyewe
Kwa sababu kila kitu kinahitaji muda
kupenda, kusamehe, kukua, kupona, kufanikiwa na hata kuondoka
Na ndiyo maana tunasema
Muda ni mali, lakini zaidi ya mali, muda ni maisha
Ukimpa mtu muda wako, umempa sehemu ya maisha yako ambayo haitarudi tena ❤️⏳
ShesRise_1 🖐
Muda ni nini hasa?🤔

Tatizo sio muda, tatizo ni sisi.Inaamana bila mda tungekua tunafanya vitu bila mwelekeo wala nidhamu si ndio ?
maana moja ya kazi ya mda ni kufanya vitu kwa nidhamu
Mda ni njia ya mabeberu kutuondolea furaha ki vp kwani na wao si wanautumia.
🤔🤔🤔 mambo ya kuhofia kesho🙌
Tuko 1448 na sio 2026
Hii ni calender ipi mkuu?
Natanguliza shukran
Muda ni njia ya mabeberu kuwaondolea watu furaha.
Kwa kuwa tuna muda, maana yake tuna vipimo vya nyakati za kila kitu mpaka na uhai wetu maana yake kila kitu lazima kiende kwa muda. Lazima ufanye vitu fulani kwa nyakati fulani au upambane ili vitu hivyo vitokee kabla ya nyakati hizo.
Maisha ya mwanadamu baada ya kupimwa kwa muda yamekua ya taabu sana. mahangaiko na hofu. Binadamu aliyeishi bila kujali muda, alikua ni mwenye furaha sana, asiye na hofu wala malengo mahususi yapimwayo na muda.
Ukiondoa dhana ya muda, raia wangekua na maisha bora sana
Hii inajumuisha na ukweli kwamba, peponi au mbinguni ni timeless au eternal. Watu wa huko wanafuraha zaidi kwakuwa hawakimbizani na muda.
Tuko mwaka 1448
Leo ndiyo mwaka wetu mpya
Kipimo kinachotumika wakati dunia inapozunguka katika mhimili wake. Mf. Siku moja ni masaa 24. Binadamu anatumia hicho kipimo katika kazi zake. Let me read a bit about "space and time "Uzi Moja makini sana japo sijasoma wote
Binadamu ni Maada
Ana ujazo na uzito
Kwenye uzito, anaendeshwa na kanuni za tatu za newtons
Mojawapo ni kanuni ya pili ya Mchapuko inategemeana na nguvu ya mvuto(Gravity)
F= ma
Kwenye ujazo, anaendeshwa na kanuni ya Uhusianifu Maalum(Special Relativity)
s² = c² t² - x² - y² - z²
Kwa kutumia hizi nadharia mbili, anaingia kwenye Nafasi-Wakati (SpaceTime)
Endapo binadamu ataweza kwenda mbio zaidi, Muda huenda polepole.
Kwa hiyo kama maisha yako utakuwa mzembe mzembe huchachariki na kukimbizana na maisha , maana yake kwako muda utaenda haraka na utajikuta umeezeka haraka kuliko wachakarikaji ambao muda wote wako mbio mbio na maisha wameyapatia.
Tafuta hela kijana anza sasa kukimbia
Nimependa hitimisho lako la muda ni maisha.Na ndiyo maana tunasema
Muda ni mali, lakini zaidi ya mali, muda ni maisha
Una hojaTatizo sio muda, tatizo ni sisi.
Au tuseme hakuna tatizo lolote
ExactlyKipimo kinachotumika wakati dunia inapozunguka katika mhimili wake. Mf. Siku moja ni masaa 24. Binadamu anatumia hicho kipimo katika kazi zake. Let me read a bit about "space and time "