Guru Master JF-Expert Member Joined Jan 14, 2017 Posts 232 Reaction score 623 Oct 5, 2022 #1 Aliiimba Hamza Kalala sikumbuki kama alikuwa na Bantu Group au peke yake. Anasema eeeh eehe eehh kasimbagho, kabhuka. Mka mkamwana mkalole kasimbagho. Mwenye huu wimbo please aubandike hapa. Natanguliza shukrani.
Aliiimba Hamza Kalala sikumbuki kama alikuwa na Bantu Group au peke yake. Anasema eeeh eehe eehh kasimbagho, kabhuka. Mka mkamwana mkalole kasimbagho. Mwenye huu wimbo please aubandike hapa. Natanguliza shukrani.
Kanali G JF-Expert Member Joined Oct 21, 2013 Posts 9,897 Reaction score 14,453 Oct 5, 2022 #2 Kuna thread kabisa inaitwa Wimbo gani unatafuta bila mafanikio?ingia humo