Rushwa Mbaya ila siachi kutoa ujinga wa kupanga folen siupendi bughudha kibaoNilienda kijijini kipindi fulani na kuomba kuunganishiwa umeme,,
Nikalipia
Nikaambiwa ndani ya siku 90 utafungiwa (Endapo vifaa vitakuwepo).
Kesho yake nikarudi pale na kuonana na meneja,,
Nikamuona meneja,,(Kumuona meneja haimaanishi kwenda kumsalimia).
Tukaongea
Akakubali na akapokea nilichompelekea
Siku ya TATU walikuja kuniunganishia umeme,,,
Nikawaacha wajinga wajinga wengine wakisubiria siku tisini na vifaa kupatikana.
Nadhani umenielewa
Mimi nadhani hapo Mjanja ni meneja, sio wewe.Nilienda kijijini kipindi fulani na kuomba kuunganishiwa umeme,,