Muda maalum wa serikali kupata hati ya nyumba

Airmanula

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
3,761
5,245
Je ukishakamilisha taratibu au hatua zote za kupata hati miliki ya nyumba ikiwemo upimaji, mipango miji n.k,

Je ni muda gani uliowekwa na serikali kua utakapokamilisha hizo hatua, utapata hati yako ya nyumba.
 
Nilienda kijijini kipindi fulani na kuomba kuunganishiwa umeme,,
Nikalipia
Nikaambiwa ndani ya siku 90 utafungiwa (Endapo vifaa vitakuwepo).

Kesho yake nikarudi pale na kuonana na meneja,,
Nikamuona meneja,,(Kumuona meneja haimaanishi kwenda kumsalimia).
Tukaongea
Akakubali na akapokea nilichompelekea
Siku ya TATU walikuja kuniunganishia umeme,,,

Nikawaacha wajinga wajinga wengine wakisubiria siku tisini na vifaa kupatikana.

Nadhani umenielewa
 
Rushwa Mbaya ila siachi kutoa ujinga wa kupanga folen siupendi bughudha kibao
 
Nilienda kijijini kipindi fulani na kuomba kuunganishiwa umeme,,
Nikalipia
Nikaambiwa ndani ya siku 90 utafungiwa (Endapo vifaa vitakuwepo).

Kesho yake nikarudi pale na kuonana na meneja,,
Nikamuona meneja,,(Kumuona meneja haimaanishi kwenda kumsalimia).
Tukaongea
Akakubali na akapokea nilichompelekea
Siku ya TATU walikuja kuniunganishia umeme,,,

Nikawaacha wajinga wajinga wengine wakisubiria siku tisini na vifaa kupatikana.

Nadhani umenielewa
Mimi nadhani hapo Mjanja ni meneja, sio wewe.
Hao wanaosubiri siku 90 hawataki ujingaujinga;)
 
Back
Top Bottom