Unafua nguo za ndani na mashuka baada ya muda gani kwako?

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
Katika hali ya kutunza Usafi wa Mwili na Mazingira ya nyumba, kila kitu ikiwemo Mavazi na Mapambo vinapaswa kufuliwa au kuoshwa kwa muda maalum kabla ya kutumiwa tena

Vipi Mdau, unafua Mashuka yako baada ya kulalia kwa muda gani?

1707832857660.png
 
shuka mpaka mchumba aseme sasa hii inatosha na awe amekuja, ila boksa ni kila nikitoka kuoga siivui nailowesha naivua Halafu nikimaliza naifua na kubadilisha nyingine
Asante kwa kaka yangu alinifundisha hii tabia tangu nikiwa dogo mpaka Leo nilishazoea.

ILA shuka hata miezi linakata.
 
Sehemu ya kulala ni sehemu inahitaji utulivu wa hali ya juu , ukiwa mchafu sehemu ya kulala ni hatari sana ,hasa kwa afya yako ya akili.
1707663759570.jpg
 
Back
Top Bottom