Haya mambo hayatakiwi kuwaza sanaAnanijua salfeti yake ataikuta stendi inamsubiri😀😀
Kuna wakati ugomvi unahusisha na hao wengine mtu unaamua kuachana na kubembeleza sijui na kukata mawasiliano yahusuyo mahusiano anakuja anakutamkia kuwa ukirudia tena kukata mawasiliano atakufanyia jambo baya sana ambalo litashangaza watuUsiku mnene suluhisho litapatikana
View attachment 2937521
Wa kwako yuko wapi?Hongereni kuwa karibu na wenza wenu.
Niko kwetu na yeye yuko kwao.Wa kwako yuko wapi?
Hapo inawalazimu mfanye kikao cha dharuraKuna wakati ugomvi unahusisha na hao wengine mtu unaamua kuachana na kubembeleza sijui na kukata mawasiliano yahusuyo mahusiano anakuja anakutamkia kuwa ukirudia tena kukata mawasiliano atakufanyia jambo baya sana ambalo litashangaza watu
Mmegombana?Niko kwetu na yeye yuko kwao.
watoto wamelala tayari mkuuSafi sana; watoto mmewapeleka wapi?
We acha tu maana vikao tunakaa ila havimalizi tatizo.Hapo inawalazimu mfanye kikao cha dharura
Huu ni mwezi wa toba; uumpi mapumziko?Niko hapa bamuangalia mama kichunje wangu anajifanya yuko busy na vishughuri vyake wakati mm nataka nikamchape nalo nijilalie mapema love u mama kichunje
😅😅😅 Life style tu.Mmegombana?
Sawa sawawatoto wamelala tayari mkuu
We acha tu maana vikao tunakaa ila havimalizi tatizo.
Unajua unapokuwa na mahusiano halafu mwenzio rafiki yake ni mtu singo mama na ushauri anatoa huko inakuwa shida sana
Mkishakuwa na watoto, mtakaa sawa tu😅😅😅 Life style tu.
Sawa mkuu.Mkishakuwa na watoto, mtakaa sawa tu